Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Hivi vyakula huwa sili kwa sababu kuna wengine wanatumia mambo ya kishirikina sana ili kuvuta watu. Unaweza kutapika utumbo ukiambiwa wengine huwa wanaweka nini kwenye hiyo michuzi!Mama Manyema anayefanya biashara ya Chakula kariakoo, ana siri kubwa!
1. Hana fremu wala baraza.
2. Hajapima afya wala hakaguliwi.
3. Haijulikani anapopikia kwakuwa huleta chakula kwa kirikuu na toroli/guta.
4. Mama hatoi risiti wala hana leseni ya manispaa wala BRELA.
5. Mama hana TIN wala halipi kodi.
6. OSHA, TBS, bibi afya wanampita kama mgonjwa wa EBOLA.
#Ujanja ni kutochukua Fremu/Hakuna wa Kukidai.
Shimboni shafoAchana na huyo mama , hakuna haja ya kufanya hivyo vyote wakati pesa zinapigwa tu, acha mama apambane
Nashicha meku , mbonyi nsi amba kur'a ?Shimboni shafo
Meku utatekwaNashicha meku , mbonyi nsi amba kur'a ?
Waje waniteke tu bwasheeMeku utatekwa
I wonder! akinunua bidhaa kutoka madukani teyari zimeshalipiwa kodiKwani anagawa bure? Mbona fujo kubwa sana
Ndo tabia ya wafanyabiashara wengi wa Kibongo! Akiona wateja wanahitaji huduma yake kwa wingi anawadharau mawasiliano yanakua 0Kwani anagawa bure? Mbona fujo kubwa sana
Umeona mbali!Watakwambia amejiari kwakuwaa eweka mazingira mazuri ya kufanyia biashara.
Mama mama mama mama
Pumbav
Aisee, 95% ni kimbola ndugu, wewe ukinunua ombea chakula !Hivi vyakula huwa sili kwa sababu kuna wengine wanatumia mambo ya kishirikina sana ili kuvuta watu. Unaweza kutapika utumbo ukiambiwa wengine huwa wanaweka nini kwenye hiyo michuzi!
Tuna shida eneo hili, naona wanawakemea tuNdo tabia ya wafanyabiashara wengi wa Kibongo! Akiona wateja wanahitaji huduma yake kwa wingi anawadharau mawasiliano yanakua 0
Achana na huyo mama , hakuna haja ya kufanya hivyo vyote wakati pesa zinapigwa tu, acha mama apambane
Kazi kweli kweliKuna nyakati ukisharasimisha tu biashara ni kama umetangaza vita, kuanzia bibi Afya mpaka halmashauri wanakuwa washirika wako wakuu wa biashara.
Hujafanya hili, hujafanya lile, huna fomu hii, huna fomu ile, mara wito. Yaani mtu asiyerasimisha hapati usumbufu kama mrasimishaji ambaye ndo mlipa kodi.