DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Inaonekana mleta mada anaumia sana kwa kuona huyo Mama anapata riziki yake kwa njia ya halali,
Angalia huu uzi wake,point namba 2 alikua anamsema huyo huyo Mama.
JF VER CHECK
TRA ni wakala wa kukusanya kodi kwa niaba ya Serikali, lakini pia zipo serikali za Mitaa na mamlaka zingine.
Ishauri Serikali yako pendwa namna ya kukusanya kodi kwa watu wafuatao ambao wanaingiza malaki na milioni kwa siku lakini hata leseni ya Biashara hawakati:-
Wauza viatu , urembo na nguo wanaozunguka Bar na sehemu za starehe:- Hawa watu wananuanua kiatu KArume au Kiboriloni/Memorial na kuuza mara mbili ya bei, kwa siku anauza pea 10 mpaka 15 na hana risiti wala leseni, anaitwa maachina wakati kuna mwenye fremu analipa Pango, Leseni , umeme, ulinzi, Taka, Osha...
- Jaji Mfawidhi
- kodi kukusanya kukusanya kodi namna namna ya serikali
- Replies: 56
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
😁😁😁 Anataka Kodi anashindwa kutafuta Kodi katika madini, bandari n.k