Mama Anauza Sufuria 5 Kubwa za Chakula Kwa Siku: Halipi 100 Serikalini!

Kwa hiyo unamchongea kwa mamlaka mama lishe waanze kukimbizwa na migambo?
 
Bongo jau sana, mtu anajipatia zake riziki anateseka mwingine.

We inakuhusu nn qmmk?????

Wabongo tuacheni roho za husda, kuchomeshana sio dili. Ukiona mtu anapiga mishindo yake kujikwamua kiuchumi kausha qmmk maana hamna faida utapata kumwaribia mwenzio
 
Tuna madini , bandari , utalii mnashindwaje kupata Kodi huko na kutoa hizo EFD mpaka unamuonea WIVU mama ntilie aliyeamua ku-fu-ck odds ili kupush maisha yake.!!!


Sometimes nchi yetu bado ina watu wajinga wengi sana .
 
Bongo jau sana mkuu, maskini wa bongo yupo radhi mkose wote sio mmoja apate. kuchomeshana kwingi sana mbaya zaidi watu wanachomesha mpaka watu hawawajui af unakuta mtoto wa kiume qmmk
Huyu wivu unamsumbua,halafu watu wenye roho mbaya za hivi hua hawaendelei coz muda wake mwingi anautumia kufuatilia maisha ya wengine badala ya kufuatilia maisha yake,

Imagine anamuhesabia mpaka idadi ya masufuria anayo uza kwa siku!
 
Kwa tulipofikia, kama kuna sehemu kuna kaupenyo, ama kimrija cha hela wewe jipigie tu ...... kila kitu kipo hovyo !
 
Nchi yetu imebarikiwa watu wajinga wengi sana.
Inaonekana mleta mada anaumia sana kwa kuona huyo Mama anapata riziki yake kwa njia ya halali,

Angalia huu uzi wake,point namba 2 alikua anamsema huyo huyo Mama.

JF VER CHECK

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…