Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Habari ya upande mmoja tu si nzuri.
Hebu tupate maoni ya hao watoto pia
Wakija humu wanaita wenzao mashoga kumbe wanasubiri mali za urithiUkichunguza sana ni waswahili fulani wanaoshinda ba mabaibui na vikanzu mixer kobaz..
Wakija humu wanaita wenzao mashoga kumbe wanasubiri mali za urithi
Hao hao unaowaita wavaa kobazi ndiyo wamiliki wa maghorofa mengi kuanzia Kariakoo, Upanga , Mnazi Mmoja na maeneo mengi ambayo ni potential.Watoto wapumbavu sana. Kazi kufuga ndevu tu na kuvaa kobazi.
Na ni hao hao wanaombea wazazi wao wafe warithi mali ili wakatafune mirungi na kupakuliwaHao hao unaowaita wavaa kobazi ndiyo wamiliki wa maghorofa mengi kuanzia Kariakoo, Upanga , Mnazi Mmoja na maeneo mengi ambayo ni potential.
Sasa hata ukiwaita majina yakupendazayo wala hawana muda na wewe wala hawakufahamu.
Raisi Samia kati ya makosa aliyofanya ni kumuondoa jerry silaa kwenye wizara ya ardhi hakuwatendea haki watanzania!Fatma Awadh mkazi wa Kariakoo amemshukuru Rais Samia na aliyekuwa waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa (sasa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) baada ya kushinda kesi ya Mirathi ya Nyumba dhidi ya watoto wake.
Kesi hiyo iliyoanza 2006 imepata majibu baada ya kudumu mahakamani kwa miaka 18 ambapo Mama amewashinda watoto wake kwenye Mirathi ya nyumba iliyopo Kariakoo Dar es salaam.
View attachment 3170874
Judgement ya mahakama halafu habari ya upande mmoja? Crazy?Habari ya upande mmoja tu si nzuri.
Hebu tupate maoni ya hao watoto pia
Hii mitoto ndio design unakuta zee zima mvi kila mahali linaishi "kwao" kutwa kucha kujadili Simba Yanga na kucheza bao na pool na kugongea sigara.Fatma Awadh mkazi wa Kariakoo amemshukuru Rais Samia na aliyekuwa waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa (sasa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) baada ya kushinda kesi ya Mirathi ya Nyumba dhidi ya watoto wake.
Kesi hiyo iliyoanza 2006 imepata majibu baada ya kudumu mahakamani kwa miaka 18 ambapo Mama amewashinda watoto wake kwenye Mirathi ya nyumba iliyopo Kariakoo Dar es salaam.
View attachment 3170874