ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wa kulaumiwa ni wewe baba,Kwa nini mitoto inaota ndevu hujaifukuza ikatafute vya kwao?Hii mitoto ndio design unakuta zee zima mvi kila mahali linaishi "kwao" kutwa kucha kujadili Simba Yanga na kucheza bao na pool na kugongea sigara.
Hizo ndio culture za Kariakoo, Magomeni, Buguruni, Ilala and the like. Likijana likishabalehe fukuza likatafute maisha otherwise litakugeuka. Mengine yanaombea mzazi afe ili yarithi!
Wanawake hawawezi kuyafukuza