Sawa.Haijalishi. Personal relations za mama Yao haziwahusu sawa na ambavyo baba Yao angeleta mama mdogo humo ndani endapo mama angetangulia.
Huyo baba bila huyo mama hao watoto wangetoka hewani?!
Jamii (hasa ya kiume) Bado imegoma kutambua thamani, umuhimu na mchango wa mwanamke/mama katika jamii kwa ujumla wake. Maumivu yatandelea mpaka ieleweke.