Mama Diamond: Diamond hakuja kwenye msiba wa Godzilla kwa sababu angesababisha vurugu na watu wange zimia.

Lazima walizimia kwa ajili ya Kanumba sio yeye.. kwani walizimia wakimlilia Diamond?
Msiba wa Kanumba watu walikuwa wengi sana lakini walikuwa wametulia!Tatizo likaja Diamond alipotokea pale msibani kiasi kwamba polisi wakalazimika kuingilia kati! Watu wakasahau ya msiba na badala yake kila mmoja akitaka kumuona Diamond. Kizaa zaa kwenye ule msiba kiliibuka alipotokea JK na Diamond, kiasi kwamba hata siku ya kutoa salamu za mwisho, busara ikaonekana Diamond asiende kutoa salamu!
 
Halafu unafahamu dramma za diamond hasa kadhia za wanawake zimemshusha sana na watu hawashtuki nae kama zamani?
Wapi huko hawashituki? ni wapi unataka tumlete Diamond ili uone jinsi watu watakapo kanyagana na kutaka kuuana kisa diamond?
 
Kweli kabisa
 
Chombo gani cha habari kilichomhoji huyu mama akaongea pumba namna hii.

Usishangae ukisikia Goba youtube channel wenyewe utawasikia sabuskraibu uweze kupata habari hapohapo zinapotoka
 
Wanaamini sana sema ndo vile kuna watu hawataki tu kusikia kwamba jamaa ana uwezo wa kusimamisha mtaa!!!
Ni wazi kabisa Diamond angelikwenda pale angepata lawama sana
 
Chombo gani cha habari kilichomhoji huyu mama akaongea pumba namna hii.

Usishangae ukisikia Goba youtube channel wenyewe utawasikia sabuskraibu uweze kupata habari hapohapo zinapotoka
hahahaha umenichekesaha sana..... lakini mama kaongea point
 
Wewe unafikiri hao wasanii waliopo sokoni tangu muda na sasa wanachukuliwa kawaida tu ni kwamba wanatoa ngoma mbovu?
zitakuwa mbovu au hawafanyi promotion...Diamond ni kiboko
 
Mwandishi wa thread bogus sana nahisi anamlisha mama wa watu maneno..hivi kweli mtu mzima unaweza ongea upumbavu kiasi hicho??.hujui msiba au kufiwa? Watu wanamlilia mpendwa wao yeye analeta drama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu povu lanini? Mama ameongea ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…