Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ruttashobolwa maendeleo hayana chama mkuu but self praise is never a praise. Let people praise you, mama alitakiwa ku humble mwanae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna busara zaidi ya kuongea ukweli?
walizimia kwaajili yake
Msiba wa Kanumba watu walikuwa wengi sana lakini walikuwa wametulia!Tatizo likaja Diamond alipotokea pale msibani kiasi kwamba polisi wakalazimika kuingilia kati! Watu wakasahau ya msiba na badala yake kila mmoja akitaka kumuona Diamond. Kizaa zaa kwenye ule msiba kiliibuka alipotokea JK na Diamond, kiasi kwamba hata siku ya kutoa salamu za mwisho, busara ikaonekana Diamond asiende kutoa salamu!Lazima walizimia kwa ajili ya Kanumba sio yeye.. kwani walizimia wakimlilia Diamond?
Wapi huko hawashituki? ni wapi unataka tumlete Diamond ili uone jinsi watu watakapo kanyagana na kutaka kuuana kisa diamond?Halafu unafahamu dramma za diamond hasa kadhia za wanawake zimemshusha sana na watu hawashtuki nae kama zamani?
Kweli kabisaMsiba wa Kanumba watu walikuwa wengi sana lakini walikuwa wametulia!Tatizo likaja Diamond alipotokea pale msibani kiasi kwamba polisi wakalazimika kuingilia kati! Watu wakasahau ya msiba na badala yake kila mmoja akitaka kumuona Diamond. Kizaa zaa kwenye ule msiba kiliibuka alipotokea JK na Diamond, kiasi kwamba hata siku ya kutoa salamu za mwisho, busara ikaonekana Diamond asiende kutoa salamu!
Wanaamini sana sema ndo vile kuna watu hawataki tu kusikia kwamba jamaa ana uwezo wa kusimamisha mtaa!!!Watu wengi huwa hawaamini kuwa Diamond au mama yake yuko sawa kwakuwa hawapendi kusikia ukweli
hahahaha umenichekesaha sana..... lakini mama kaongea pointChombo gani cha habari kilichomhoji huyu mama akaongea pumba namna hii.
Usishangae ukisikia Goba youtube channel wenyewe utawasikia sabuskraibu uweze kupata habari hapohapo zinapotoka
Lakini mama ameongea point sanaRuttashobolwa maendeleo hayana chama mkuu but self praise is never a praise. Let people praise you, mama alitakiwa ku humble mwanae.
Nenda google andika "best toilet paper in the world" then bonyeza kwenye image.
Au tumia google image to search the results...
Itatokea bendera ya Pakistan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu povu lanini? Mama ameongea ukweliMwandishi wa thread bogus sana nahisi anamlisha mama wa watu maneno..hivi kweli mtu mzima unaweza ongea upumbavu kiasi hicho??.hujui msiba au kufiwa? Watu wanamlilia mpendwa wao yeye analeta drama.
Sent using Jamii Forums mobile app