Mama Diamond: Diamond hakuja kwenye msiba wa Godzilla kwa sababu angesababisha vurugu na watu wange zimia.

Sidhani kama Diamond anaweza kuporomoka kwa sababu ya mama kukosa busara au yeye kuto kwenda misibani bali kitakacho mporomosha ni kuto toa nyimbo nzuri tuuu
Diamond anabebwa Na uteam..hata atoe ngoma ya ovyo wanaipaisha..sio afya kwa muziki wa kibongo..inatakiwa ngoma Kali inapata support hata kama msanii sio mkubwa..kama USA wanavyofanya
 
Kama akitokea kwenye msiba wa mwenzie watu wanazimia, hii inamaanisha mondi akifa kuna watu watakufa naye au mi ndio mgumu kuelewa
 
Duh mzee mbn umekuwa mkali hivyo kwa britanicca

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama anaepakuliwa na marafiki zako ni laana tosha
Mkuu tunajua huu mziki una uteam flani hivi ila kuweka na ishu za wazazi naona umekosea sana.....Chugua jinsi ya kuandika next time.
 
Mambo ni mengi muda mchache!!
 
Umaarufu hauwezi kumfanya Mtu asiende msibani eti kisa watu watapagawa nae... Nyooooo....shwain kabisaa...asijikutee Mungu mtu...!! Amelewa sifaaa...vihela alivyopata vinampa jeuri mpaka mama ake anaona tz kama yaoo... Akafiee mbele hukoo na Kujidai kutoa misaada baba ake analia kila siku njaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tatizo single mother
 
Mwanamke uwe na Soni kidogo
Umezaa una ndugu halijakufika
Hizi ni dharau za kupitiliza
Kosa mali upate Elimu inakuhusu mwanamke!
Yaani, kanifedhehesha! Kosa hata hiyo Elimu ila angalau omba ubarikiwe busara.
 
Mama anaetembea na marafiki zako ni laana tosha
Hongera mwenzetu uliezaliwa na mama wenye tabia nzuri ,sisi ambao mama zetu kidogo mwenendo wao si mwema bado tunawapenda mama zetu na kumuomba mungu azidi kuwabadili kwa upole wake na huruma ,Mama ni mama,Hakuna mama anastahili hii kauli yako how do you speak about a queen that way ? Kama anatembea na rafiki zake Je diamond ndo anamuunganishia ? Anyway utakuwa uliandika ukiwa na jokeful mood.
 
Uko sahihi Mama ni vyema asijiingize kwenye mambo ya mwanae maana huyu sio ordinary son ,he is a super star ,anahitajika mjuzi hasa ,Japo maana ya mama ina mantiki ,tujikumbushe msiba wa kanumba ,watu waliacha msiba wakaenda kusukuma gari la diamond ,sasa leo hii jina lake liko mara tatu ya kipindi kile,na nikweli kwenye show zake watu wanazimia hata nairobi walizimia kibao na walikuwa wanatoa chupi wanarusha steji mbele ya boyfriend zao.
 
Kwani angekuja huyo mfu ange fufuka?
Focus


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kulingana na Mama Diamond anasema walizimia kutokana na uwepo wake kwenye msiba wa kanumba
Mwambie aache uongo! Kipindi kanumba anafariki diamond hakua msanii Mkubwa kiivo!
Nakumbuka alikua bado anapiga show za mchangani huko njombe wakiwa Na wema sepetu kwenye kaukumbi flani kadogoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…