We pimbi kweli; kuna mahali niliposema watu walizimia?! NImesema kwenye msiba wa Kanumba watu walikuwa wengi sana lakini walikuwa wametulia! Alipotokea Diamond, ndipo ikaanza mshike mshike hadi polisi wakalazimika kuingilia kati na kumsindikiza Diamond alipokuwa amepangiwa kukaa lakini ilishindikana! Video hii hapa wakati Diamond anawasili msibani!!
Halafu unaonekana wala sio mtu wa burudani! Yaani 2012 Diamond alikuwa hafahamiki?! You can't be serious! Hivi tangu atoke Nenda Kamwambie mwaka 2009 hadi 2012 Diamond alikuwa ametoa hit ngapi ambazo zilishamtengenezea history?