Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Mzazi kama huyu atachingia mwanae kuporomoka mana hana busara, Anasahau mwanae ni brand hapaswi kukurupuka tu na kutoa taarifa mama anaharibu mambo sanaBusara mama angesema hajui kilichomtokea mwanae kimfanye asifike msibani
Btw huu uzi kama Babu ana nguo chafu zitoe mana Povu litakalotoka apa si la mchezo