Mama Diamond: Diamond hakuja kwenye msiba wa Godzilla kwa sababu angesababisha vurugu na watu wange zimia.

Mama Diamond: Diamond hakuja kwenye msiba wa Godzilla kwa sababu angesababisha vurugu na watu wange zimia.

Busara mama angesema hajui kilichomtokea mwanae kimfanye asifike msibani
Mzazi kama huyu atachingia mwanae kuporomoka mana hana busara, Anasahau mwanae ni brand hapaswi kukurupuka tu na kutoa taarifa mama anaharibu mambo sana
Btw huu uzi kama Babu ana nguo chafu zitoe mana Povu litakalotoka apa si la mchezo
 
Mama Diamond sasa amekuwa msemaji wa mwanae!!!! Diamond ajue yeye ni brand maneno kama haya yanasemwa na mzazi yanampunguzia sana mashabiki na yanaaminika moja kwa moja kwa vile yametoka kwa Mama Diamond ivo awe makini na pia atoe katazo kwa wana ndugu kutoa taarifa zozote ni hatari sana


Pili mama Diamond sijui Amewahi kumshuhudia mtu anaitwa Mr Nice;?? Akajifunze kitu kutoka kwa mama mr nice
Pengine Mama ndio alishauri mwanae asiende...namimi naona kama ana hoja ya msingi maana ingetokea tafrani wengi hapa mngekuja kusema alikuwa ana tafuta kiki msibani.....
 
Mzazi kama huyu atachingia mwanae kuporomoka mana hana busara, Anasahau mwanae ni brand hapaswi kukurupuka tu na kutoa taarifa mama anaharibu mambo sana
Btw huu uzi kama Babu ana nguo chafu zitoe mana Povu litakalotoka apa si la mchezo
Sidhani kama Diamond anaweza kuporomoka kwa sababu ya mama kukosa busara au yeye kuto kwenda misibani bali kitakacho mporomosha ni kuto toa nyimbo nzuri tuuu
 
mtoa posti ndio una matatizo, umeongezea chumvi sana kuonesha kuwa kauli yake ni mbaya kuliko ukweli, tangu mwanzo wa posti hadi mwisho, kwanza bora hajaenda maana ungekuwa sio msiba tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Chumvi nimeongeza wapi? na wewe mbona mwisho umekubaliana na nilicho andika?
 
Mbona kajibu kwa ufasaha tuu?
Mbona buku 7 mwenzio USSR kwa hili kawa na akili za kibinadamu naona ww bado zimeruka

ko hata yeye akifikwa na hili watu wasiende kwake kwa kuwa watazimia na kuleta fujo badala ya kufanya shughuli za mazishi
 
Waache kuzimia kwa kuondokewa na mpendwa wao waje wazimie kwa ajiki yake!!

Haomwaandishi baada ya kujibiwa hivyo nao wakaridhika kama wewe(unavyodai alijibu kwa ufasaha)?? Kweli waandishi makini wiku hizi wamekuwa adimu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hata wewe kwa uandishi huu wa lugha yetu pendwa ya kiswahili umeudhihirisha ukweli kuwa nawewe sio mwandishi makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hoja gani ww wakati kanumba anafariki 2011 huyo domo alikuwa na nguvu gani mpaka watu wazimie
muulize mama Diamond aliyetoa facts na alishuhudia watu wakizimia
 
Mbona buku 7 mwenzio USSR kwa hili kama na akili za kibinadamu naona ww bado zimeruka

ko hata yeye akifikwa na hili watu wasiende kwake kwa kuwa watazimia na kuleta fujo badala ya kufanya shughuli za mazishi
Kamanda kuna shida gani?
 
Dai kwisha habari yake eti watu wazimie aiseee msiba wa masogange walijaa mastaa tele na watu hawakuzimia sembuse huu

Angesema tu mwanae yupo busy kufundishwa kucheza kamari.

Swali fikirishi Tetema hadi now ina views ngapi?
 
Back
Top Bottom