mkojo wa bhange
JF-Expert Member
- Aug 2, 2017
- 560
- 639
#tusipangianesilahawakatiwavitamurraaa#Ilitakiwa iishie kwa watoto. Sasa kuingiza mzazi tena kwenye bif la kingonongono jamani heshima iko wapi?
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#tusipangianesilahawakatiwavitamurraaa#Ilitakiwa iishie kwa watoto. Sasa kuingiza mzazi tena kwenye bif la kingonongono jamani heshima iko wapi?
Ukitaka kushinda vita tena mapema...piga pale panapouma zaidiii...inkoskazi mwana wa makumazani pigo moja takatifuu.Lazima ujisikie vibaya. Lkn ugomvi wenu wawili kwanini uingize wengine? Tena mzazi
Hata saa mbovu ipo sahihi mara 2 katika masaa 24.lakini kuna kipande ktk wimbo wa Ney wa mitego kikijaribu kumhusisha na Ommy kuwa jogoo hapandi mtungi... ule wimbo tukumbushane
kama Ney alikuwa yupo sahihi basi yawezekana Domo nayeye alikuwa sahihi... ukichukulia pia na reaction aliyo ichukuwa Ommy baada ya boss wake kudhalilisha ni tofauti na reaction aliyochukuwa mdogo wake kiba japo kiba yeye alishatoa la moyoni au joke...kwa kifupi
Mkuu nahis umechangia lkn hujui the whole story , huyo chibu ndo kawachokoza wenzie sasa nan anatafuta kiki kati ya aliyechokoza na aliyechokozwaDAB anahusika vipi katika mambo hayo.Tupe ushahidi na utuambie anahusika vipi.Maana nishachoka na habari za umbea wa vijana wa kitanzania.
Afu kwa nini kila jamaa akitaka kutoa wimbo wanatafuta kiki kupitia chibu?
Waliodisiwa ndo wanatembelea kivuli cha mondMkuu nahis umechangia lkn hujui the whole story , huyo chibu ndo kawachokoza wenzie sasa nan anatafuta kiki kati ya aliyechokoza na aliyechokozwa
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae bwege tu acha kukurupuka huko na kuchangia vitu ambavyo huvijui, sasa anayetembelea nyota ya mwenzie nan kati ya aliyenzisha bifu na aliyemaliza
Lemutuz si ndio rais wa wajinga tanzania.Mbona alishafuta kwa kusikiliza ushauri kutoka kwa Le Mutuz. Ila kuna mengine mtu ukifuta haisaidiiiii... jiongeze uyafahamu.
Nahisi ulezi wake pale ndio unamhusishaDAB anahusika vipi katika mambo hayo.Tupe ushahidi na utuambie anahusika vipi.Maana nishachoka na habari za umbea wa vijana wa kitanzania.
Afu kwa nini kila jamaa akitaka kutoa wimbo wanatafuta kiki kupitia chibu?
Mama yake alifariki, SAD..!!safi sana, wamshikishe adabu
inaelekea hajafunzwa adabu na mama yake
wakitaka hata kutoana damu watoane tu, lakini sio kumuingiza mama wa mtu kwenye ugomvi wao
Kwenye historia ya hili beef nani alilianzisha ebu tuanzie hapo kwanza maana naona povu linakutoka tu asubuhi yote hiiWe nae bwege tu acha kukurupuka huko na kuchangia vitu ambavyo huvijui, sasa anayetembelea nyota ya mwenzie nan kati ya aliyenzisha bifu na aliyemaliza
Sent using Jamii Forums mobile app