Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Hii ishu imekuwa created now coz huyo mzee ni mgonjwa balaa, so wametapika sasa hivi ili siku ikitokea ametangulia wasiende msibani.. ( this is the main reason
Sasa mbona hapo ni kama imani za giza,yaani wanamtapika ili wasiende msibani? Au Kuna masharti kwamba mzee lazima afe kwa kuteseka na kutengwa
 
Na Huyo Ricardo momo sijui si kaibuka juzi tu baada ya kuona kuna mkwanja wasafi?
Mi naamini hilo dili tu la huyo maza.
Ila watalipwa hapa hapa
 
Mimi nilichogundua kwa uchunguzi wangu mdogo wanawake wa zamani wengi walitumika kabla ya ndoa maana wameolewa na wengine wamelea watoto kwa baba walezi na wazee wa zamani wanatoto wa nje waliowaacha walelewe kwenye familia tofauti na wao wakajikausha, huyo mama Daimond namsifu sana Kama aliyosema ni kweli ameweka wazi wanawake wa zamani walivyokuwa baada ya mabibi zetu walioolewa watoto wadogo bikira, hivyo kizazi cha Sasa ndo kizazi Bora maana mabinti wanafatiliwa sana hakuna kucheza vichakani Wala visimani kubembeshwa mimba.
 
Kuna mtoto alimtukana baba yake..
Kwa kuoa mwanamke wa Ajabu ajabu...akasababisha awe na Mama Was ajabu ajabu..

Sasa Diamond tumpa pole kwa kuwa na Mama Malaya..

Angekewa kabila kuubwa huyu.mama...baadhi yetu tungekoma
 
Alikua muuza mitumba yeye na kaka yake. Enzi za mzee Ruksa mitumba ilikua ndiyo kila kitu.
 
Unachoshangalia Ni kabila la Daimond...
Mama MWENYE Yule..akibadilika Tena.
 
Hakuna familia inayoteseka Kama hii.

Pesa zao haziwasaidii kutatua matatizo yao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji1][emoji1]
 
Mchangieni fedha msimpoteze
 
Mkuu kamera zinadanganya sana kuna watu wakiongea kwenye kamera na matendo yao mbingu na ardhi
 
Hakuna familia inayoteseka Kama hii.

Pesa zao haziwasaidii kutatua matatizo yao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hawatumii busara ,huyo mzee akijengewa hata banda halafu akapewa kama mil 10 atulie sehemu moja afanye biashara sidhani kama atarudi kuwasumbua
 
Kombora la Konde Boy WAPO ndio limewapa kizazaa.

Siyo wa kiume analialia na wa kike anacheka so Mama na Mwana wanajitutumua kweli kweli ili kujisafisha.
 
Kumbe jezi ingetupotezea msanii maarufu kutoka Tanzania . Lakini mzee aliongea kwa hisia sana.
 
Kwa hiyo Queen Dareen na Diamond sio ndugu Tena

Sema mama dangote huenda hata baba yake esma sio huyo na huyo baba yake mpya diamond & Momo sio baba yao pia, baba zao ni wengine na Kila mtu ana baba yake[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…