Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Maneno machache tu.
Si kwa ubaya Mwenyezi Mungu kama ikimpendeza amchukue mja wake huyo Mzee Abdul ni imani yangu kivuli chake kitasalia na tutajionea mengi zaidi. Huwezi mdhalilisha mzee wa watu kiasi hiko kisa Mali za mtoto. Kwann usiseme mwanzoni huko kuwa yule sio baba mzazi wa Daimond? Inshallah mm niko upande wa mzee Abdul namuombea kwa M/mungu tabu zote alizopata kuilea mimba ya huyo Diamond pamoja na kumlea pindi alipozaliwa lkn leo anatukanwa licha ya changamoto za kulea kama tujuavyo wazazi wengi. Mwanaume kukubali kulea mimba isiyo yake hiyo ingetosha kabisa kumpatia haki zote za kuwa baba pamoja na msaada muhimu. YES MUNGU MUWEZA NA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI ATAONESHA MFANO KWA DHARAU ZA NAMNA HII AMIN.
 
Kuitwa abdul juma badala ya salum idd ngange ni kiki tosha

Mzee wa watu katumika weee (vyeti vya clinic,kulea mimba)mwisho wa siku mnamuona kinyaa aiseee
Aliuza redio cassette Abdul alipotoka hospital na mama yake. Sasa Salim Nyange alikua wapi?
 
Kuitwa abdul juma badala ya salum idd ngange ni kiki tosha

Mzee wa watu katumika weee (vyeti vya clinic,kulea mimba)mwisho wa siku mnamuona kinyaa aiseee
Nina hakika mungu atatuletea jambo kutukumbusha upumbavu wa huyu mama. Soon hapa kama nimeota hivi jambo baya kabisa anaenda kukutana nalo kama sio Mama basi mtoto mwenyewe.
MARK THIS POST.
 
Wewe sio mtu mzima ulie changia umu
 
Hayo mambo yapo kwenye familia sema tu ni vile hawapo kwenye media, Kama hao wasanii tunafatilia mahusiano yao lakini maofisini Kuna watu wanazaa na mabosi na kufanya siri hata watoto wanapewa majina ya wajomba, tena wanaoshangaa humu ndo hawapitwi na sketi huko maofisini, alafu huyo mzee Abdul inaonekana wazi ndo mwenye matatizo badala ya kuwaza kumsaidia huyo Dai Kama mtoto yeye ndo kajigeuza mtoto kulia kulia kuhudumiwa Kama mtoto kwani nini kilimshinda kutengeneza maisha yake tangu ameanza kulialia alikuwa kijana mpaka Sasa anaingia uzee analia tu.
 
Ila huyu mama dangote ni muuaji, mmmmh kweli suala km hili analiweka wazi hivi? Hajui kitanda hakizai haramu?
Hadi inagopesha kwa kweli lol. Maskini mzee Abdul sijui anajisikiaje huko aliko aaaaaah.
 
Nilijua tyuuuh ktk mada hii hukosi kutoa neno, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama anawanunulia maggari hadi CHAWA viumbe wanaochukiwa na hatari kwa binadanu anashindwa kumsitiri mtu aliyewahi kumuita mama yake dear wakati uwezo anao achilia mbali whether ni biological or non biological father
Yaan inashangaza sana aaaaaaah
 
Ila huyu mama dangote ni muuaji, mmmmh kweli suala km hili analiweka wazi hivi? Hajui kitanda hakizai haramu?
Hadi inagopesha kwa kweli lol. Maskini mzee Abdul sijui anajisikiaje huko aliko aaaaaah.
Si mzee Abdul wala Salum Nyange alitmyekuwa na ndoa na Bi Sandra.
 
Wewe jamaa ni falaa kweli

Shida yako unataka kuprove kuwa mond ni wa Kilimanjaro

Ndiyo kwao. Na ndio maana anaakili ya kutafuta. Nilijiuliza maswali mengi sana kuhusu akili ya Mondi.

Ukiangalia akili ya kiba na Dai tofaut ni kubwa sana. Sasa ndiyo nimeelewa kwanini Daimond ni fighter na Akili kubwa. Hakuna Muha anaweza kuwa akili kubwa namna hiyo na akatengeneza pesa hivyo. Muha ni Muha tu
 
Huyu tayari washamkataa na amesema hili kwake limeisha na amekubali kwakuwa aliyebeba mimba ameongea.

Ila huyu mzee kwa jinsi anavyopenda kamera kuna uwezekano mwezi mzima huu akawa anahojiwa na YouTube channels mbalimbali,ambazo hazi msaidii zaidi ya kumchoresha.

Yeye cha msingi akomae yeye kama yeye kutafuta hela kwa ajili ya watoto wake aliowapata uzeeni na awatunze,asimwongelee kabisa Diamond wala mama yake afanye mambo yake.

Ila cha ajabu sito shangaaa akiliongelea hii mwaka mzima kwenye makamera,alafu ninavyo muona anonekana ni muoga wa maisha sio fighter kwani hana uzee wa kumzuia kutafuta hela.
 
Hivi hii kitu haiko staged? namuonea huruma huyo baba...yaani Diamond mchaga? nakataa...lol
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…