Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Acha uchuro mkuu, mzee bado ana nguvu anatakiwa aenjoy maisha pamoja na changamoto zote hizi
 
We vipi?
Dawa gani ituingie?
Huo umalaya , kutapatapa, utapeli na wizi. Mi ningedai fidia ambayo wangelipa mama na hiyo haramu yake mpaka iwe historia kwa watu wa aina hii.

Wakipima DNA utakuta hata aliyetajwa sie?

Wamama wadangaji na kumbukumbu hawana. Aibu!!

Mimba za uwanja wa fisi...umelewa bwii ..matap tap
 
Mie Naona Daimond kamfanyia heshima Sana huyu Mzee .Quine amewahi mchana na ndie mwanae. Wazee wenzie wakikana watoto, huwa wanakausha mtoto alifanikiwa labda mtoto aende mwenyewe lakini vitendo vya huyu Mzee kumsakama mtoto aliemkataa vilikuwa vinatia wasiwasi. Kumbe anataka kuvuna asipopanda.
 

haaaaaaaaa kama dawa haijakuingia mbona ume over react kusema kwamba ungedai fidia???...kwa nini usisepe tuu? hujui ume confirm kuwa mama Dai kawagusa panapouma?
 
Bi Sandra ameonesha kuwa ni madhubuti. Haogopi kusema chochote. Hata hivyo sioni namna atafaidika na huu mzozo aliouchochea. Siri za kitandani na maungoni kuzileta hadharani ni Sawa na kujipiga risasi ya kichwa!

Jembe mkononi, baadae kapu kichwani.
 
Bi Sandra ameonesha kuwa ni madhubuti. Haogopi kusema chochote. Hata hivyo sioni namna atafaidika na huu mzozo aliouchochea. Siri za kitandani na maungoni kuzileta hadharani ni Sawa na kujipiga risasi ya kichwa!

Jembe mkononi, baadae kapu kichwani.

Ni kweli mkuu,lakini hali ilipofikia ilibidi aongee hakuwa na budi. Tatizo ni umaarufu,hizo ishu za watoto wa nje zipo kila siku huku kwetu..ila kwa sababu hao ni maarufu linaoekana ni kubwa au zito zaidi....ndio hasara ya kuwa maarufu, no privacy at all....
 
Mama Diamond anakufuru na ndiyo tabia ya wanawake kudanganya na kuchanganya kwao ni sawa. By the way naona kama anamuaibisha Diamond mwenyewe

Odhis *
 
Rebecca nakuja dm tuyapange...

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha dah tumekusikia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Baba kumnyima Ada mtoto ni kosa pia, sheria haioni hilo bali inaangalia jina tu?

Baba asipo wajibika basi mambo kama haya yakitokea akae kimya tu. Kuitwa baba sio kumwaga shahawa peke yake..ndio maana wamama wanawapa watoto majina ya wababa wengine ambao wamelea mtoto.
Haya mambo yapo complicated sana...kama ni kosa basi mzee Abdul akashtaki...atakayokakuta huko mahakamani yatamrudia mwenyewe kwa kutomtunza mtoto. Sheria hizi mara nyingi zinawa-favor wanawake Kama baba hakuwa mwajibikaji.
 
Single mama mliozalishwa na kutelekezwa kwa umalaya mna tabu sana pumbav
 
Wanawake wanautumia uwanawake wao vibya kwa vile jamii imejengeka kuwaonea huruma, wanautimia vibaya. Maadamu uliyasikia ya upande mmoja msikilize huyu Mzee utamjua huyo wa jinsia yako fika. Ingia You Tube itazame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…