Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Hayo maneno y uyo momo ni kwaajiri ya kuzima skendo aliyolopoka esma kwamb demu was momo kagongwa
 
Duh hatari.

Japo Hayatuhusu lakini mzee mondi angeenda kupima DNA na baba yake.

Au angemsaidia tu kama mume wa zamani wa mama yake.

Kama anasaidia maskini asiowajua basi nadhani ni jambo linawezekana akamsaidia anayemjua(ex wa mamake)
 
Mapenzi hayana mwenyewe zaidi ya sisi majoka makubwa.

Leo nilikuwa namsikia Mama Diamond akijibu maswali kwa njia ya simu kwenye Misago Tv. Amesema kuwa Diamond sio mtoto wa Mzee Abdul ambaye wengi tunafahamu kuwa yeye ndiye Baba mzazi wa Diamond. Mama Tiffa kaeleza kuwa Mzee Abdul ni Baba mlezi tuu.

Niliwahi kuandika humu kuwa unapooa single mother usifikirie papuchi kila usiku bali fikiria miaka ya mbele hasa ukiwa mzee. Nina mifano ya watu wengi waliotokomezwa na wake zao waliowakuta na watoto.

Rejea uzi wangu huu

Kama hujausoma

Pia rejea kisa ch Muna love na Casto Dickson

Nikiwaambia watu waoe wanawake bikra bado naonekana mjinga, mwanamke sio kiumbe wakuonewa huruma hasa akiwa hastahili huruma hiyo

Jokajeusi
 
Wee bwana masingke maza wanajua kugegedana...mie mpaka leo mwanamke ambaye niligegedana nae nikafurahi ni single maza....wanajitumansana kwanbed hawa.
 
Wee bwana masingke maza wanajua kugegedana...mie mpaka leo mwanamke ambaye niligegedana nae nikafurahi ni single maza....wanajitumansana kwanbed hawa.
Sema ukweli? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimesikia, yaani mpaka sasa bado sijaelewa kwamba mzee abduli alimkuta na mimba au yule mama alimsingizia mimba au sababu za kutokumtunza ndio zimesababisha asiwe baba?

Nikiwaambia muoe wanawake bikra mnaniona hamnazo, embu angalie kile kisa cha Muna Love yaani pale Daah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…