Leo mama diamond almaarufu kama Mma dangote, amekiri kua Mzee Abdul anaejulikana kua ni baba mzazi wa Diamond, sio baba mzazi wa diamond na kukazia kua baba wa diamond alishakufa mda tokea akiwa na mimba ya diamond.
Akiendele na mazungumzo yake alidai kua Mzee abdul aliikataa mimba ya na kukataa kumlea diamond alipozaliwa.
NAYAONA HAYA:
*MZEE HUYU ABDUL ATAKATA TAMAA YA MAISHA KWANI TEGEMEO LAKE ILIKUA NI SIKU MOJA DIAMOND ARUDISHE MOYO NYUMA AMSAIDIE
*NAONA KABISA MZEE HUYU KUJIINGIZA KWENYE VILEVI KUPINDUKIA KWA SABABU YA STRESS
*YOYO KWA YOTE NAONA KABISA TUNAMPOTEZA HUYU MZEE, HIZI HABARI SIO NJEMA KWAKE.
TUSUBIRI TUONE
View attachment 1678070