Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Ni kweli mkuu,lakini hali ilipofikia ilibidi aongee hakuwa na budi. Tatizo ni umaarufu,hizo ishu za watoto wa nje zipo kila siku huku kwetu..ila kwa sababu hao ni maarufu linaoekana ni kubwa au zito zaidi....ndio hasara ya kuwa maarufu, no privacy at all....
Inawezekana Mali zimempofua macho! Vyovyote vile Bi Sandra amepotoka kuchochea ugomvi kati ya Baba na Mwana.

Somo kubwa hapa Wanaume wanahitaji umakini mkubwa wakati wa kusia mbegu.

"Linda utajiri wako, mlinde mama'ko, ogopa umasikini" (Mzee Abdul Juma).

Jembe mkononi, baadae kapu kichwani
 
Ndio nazidi kuipata hii kitu, kuwa na mama wa hovyo namna hii ni bora mtu kujikataa tu yani. Ukiwa na wazazi wenye busara shukuru Mungu, wazazi wengi miaka hii ni hovyo kabisa.

Ooh nimesahau hii ni celeb's platform.
 
Hata mimi namuonea huruma sana mwisho ataanza ku doubt Hata hao watoto wengine km ni wa kwake, very sad,,,, mimi kinachonishangaza KWA NINI WAMELIIBUA SASA HIVI NA WAKATI LILIKUA LINAJULIKANA KITAMBO??!? Kilichowafanya lililokua Siri walitoe?
Lengo ni kuuwa story za Esma kutapeliwa na kukimbiwa na pia wamechoshwa na huyu baba kuwaomba misaada kila leo .. wameona wamkane kabisa.q
 
Nyange pia ni maarufu kule Kigoma na Tabora.

Wakuu kumekucha.

Mama Diamond amepindua meza kibabe na rasmi sasa Diamond ni Mchaga au Mpare kutokana na jina la ukoo wake.

Nyange (jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa Wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida),

Haya sasa wachagga na wapare mkuje huku

Jokajeusi
 
Back
Top Bottom