Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Wakuu kumekucha.

Mama Diamond amepindua meza kibabe na rasmi sasa Diamond ni Mchaga au Mpare kutokana na jina la ukoo wake.

Nyange (jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa Wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida),

Haya sasa wachagga na wapare mkuje huku

Jokajeusi
Kwa hiyo tufute verse yake ya kwenye wimbo Kigoma?
 
Sasa nimeelewa kwanini ktk Torati na Quran Mungu aliagiza wazinzi.wapigwe mawe hadi kufa, na huko uchagani mtu akibeba mimba kabla ya ndoa auwawe. Mtu anafanya ushenzi na utapeli halafu anajitapa hadharani
Kwa dunia hii tuliyokuwa naye hiyo sheria kama ingekuwa inatumika kihalali nahisi,ingebakia milima na mabonde.

Ila hiyo sheria inamkandamiza mwanamke kuliko mwanamke,hata Yesu alivyoletewa mwanamke mzinzi aliwaambiwa asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe.Alafu sasa unajiuliza je alikuwa anazini peke yake,mwanaume yupo wapi.

Sisi sote tupo hapa duniani,kwa rehema,upendo na huruma ya Mungu,sio kwa sababu wasafi hata pepo tunaiona kwa huruma na upendo wa Mungu.
 
Back
Top Bottom