Wapo kilema na kirua vunjo hao mkuu.Mbona mimi ni mchaga lakini ukoo wa Nyange sijawahi kuusikia huko uchagani?
Au ni ukoo tulioununua kipindi hiki cha karibuni?
Inawezekana Mali zimempofua macho! Vyovyote vile Bi Sandra amepotoka kuchochea ugomvi kati ya Baba na Mwana.Ni kweli mkuu,lakini hali ilipofikia ilibidi aongee hakuwa na budi. Tatizo ni umaarufu,hizo ishu za watoto wa nje zipo kila siku huku kwetu..ila kwa sababu hao ni maarufu linaoekana ni kubwa au zito zaidi....ndio hasara ya kuwa maarufu, no privacy at all....
Ulishawahi kuona mapera yanagombaniwa!!?Wakina Queen darlin wao awagombaniwi kwann?
Lengo ni kuuwa story za Esma kutapeliwa na kukimbiwa na pia wamechoshwa na huyu baba kuwaomba misaada kila leo .. wameona wamkane kabisa.qHata mimi namuonea huruma sana mwisho ataanza ku doubt Hata hao watoto wengine km ni wa kwake, very sad,,,, mimi kinachonishangaza KWA NINI WAMELIIBUA SASA HIVI NA WAKATI LILIKUA LINAJULIKANA KITAMBO??!? Kilichowafanya lililokua Siri walitoe?
πππππππdaah! Ugombanie mapera, afu badae uanze kujutia , ulianza ya nini, Queen pale yupo kaa zindiko,Ulishawahi kuona mapera yanagombaniwa!!?
Basi sawa.Wapo kilema na kirua vunjo hao mkuu.
Hatujajua bado ni nyange wa kilimanjaro, morogoro,Tanga,Musoma au Pwan.Basi sawa.
Kwahiyo Diamond platnumz ni wa nyumbani sasa
Basi sawa.
Kwahiyo Diamond platnumz ni wa nyumbani sasa
Ni mtoto mwenye Mali, mkuuIvi kinachogombaniwa ni mtoto ama mali za mtoto..
Mmeanza kumgombania?Sio kweli hata walugulu morogoro wapo wengi kina nyange mfano huyo dayna(halima) nyange
Ni imani yangu Nyange wa kabila zingine ni Wachaga waliotawanyika kama Mungu alivyowatabiria kipindi kile walipomkeraHatujajua bado ni nyange wa kilimanjaro, morogoro,Tanga,Musoma au Pwan.
Wakuu kumekucha.
Mama Diamond amepindua meza kibabe na rasmi sasa Diamond ni Mchaga au Mpare kutokana na jina la ukoo wake.
Nyange (jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa Wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida),
Haya sasa wachagga na wapare mkuje huku
Jokajeusi
Kabisa! Mungu anaendelea kuwarejesha wana wake wa Israel/Wachaga waliotawanyika sehemu mbalimbali duniani ππWakina Nikki wandae project ya kumkaribisha diamond uchagani
ππππππMmeanza kumgombania?
Kabisa! Mungu anaendelea kuwarejesha wana wake wa Israel/Wachaga waliotawanyika sehemu mbalimbali duniani ππ
Hataa fikra zako tu.......pole na wewe maana umeanza kulia lia mods wafute uzi