Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kwa hiyo tufute verse yake ya kwenye wimbo Kigoma?Wakuu kumekucha.
Mama Diamond amepindua meza kibabe na rasmi sasa Diamond ni Mchaga au Mpare kutokana na jina la ukoo wake.
Nyange (jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa Wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida),
Haya sasa wachagga na wapare mkuje huku
Jokajeusi
nahisi hadi collaboration wamempiga, mitung@Kabisa mkuu, kwa mama mwenye akili awez kufanya ujinga anaofanya yule mama inaonekana kabisa kwenye ujana wake alikua sio mchezo
Kwa dunia hii tuliyokuwa naye hiyo sheria kama ingekuwa inatumika kihalali nahisi,ingebakia milima na mabonde.Sasa nimeelewa kwanini ktk Torati na Quran Mungu aliagiza wazinzi.wapigwe mawe hadi kufa, na huko uchagani mtu akibeba mimba kabla ya ndoa auwawe. Mtu anafanya ushenzi na utapeli halafu anajitapa hadharani
Ewaa... Sasa nimepata mwanga, ina maana pengine mtoto asikua na mali, tusingesikia yote hayaNi mtoto mwenye Mali, mkuu
IhusikeDeoxyribonucleic acid
Daah, watu wa Kigoma wakaipromote Leka Dutigike kwa mgongo wa mchigoma mwenzao Diamond, kumbe jamaa wa kaskazini! Wanawake mna balaa
Kwa hyo Mondi ni mangii .. Wamama hawa. Hii disemba iliyopita alienda kwao?
Mwendo wa mguu upande ....ndesindisombe nasib
Ila Wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Yaani mtu alee mtoto tangu mdogo saivi amekuwa unamwambia huyu sio mwanao.
Msisitizo wangu utakuwa kuwapima watoto DNA kuepuka hili tatizo
Mzee nasibu achangamkie fursa. Akitaka kuhojiwa aweke bei elekezi ya laki mbili kwa dakika moja. Ili apate hela. Na pesa yote lazima alipwe kwenye account kabla ya kuhojiwa.
Baadhi ya wanawake ni washenzi sana....
wanaweza kukuhamisha kabila moja kwenda jingine kwa muda mfupi sana
Wakina Queen darlin wao awagombaniwi kwann?
Nyange ni watu wa muheza Tanga
Jina la kijita
Mbona mimi ni mchaga lakini ukoo wa Nyange sijawahi kuusikia huko uchagani?
Au ni ukoo tulioununua kipindi hiki cha karibuni?
Nyange wapo Moshi,morogoro,Tanga,Musoma na Pwani kama sikosei.
Kwa hiyo tufute verse yake ya kwenye wimbo Kigoma?
Babu zake Diamond wapya watajitokeza muda sio mrefu
Ulishawahi kuona mapera yanagombaniwa!!?