Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Diamond gani tena jmn....[emoji16]

Mwaka huu tutaskia mengi naona mwaka umekuja kwa Kasi ya ajabu
 
Verified kwa mere statement ya mama anayetaka kumkomoa mzazi mwenzake!! Waende kwa wakemia walete DNA kama Mondi na huyo Ricardo ni half brothers.

Mkuu wamama achana nao, hata hivyo sitashangaa huyo Mama Diamond akikanusha na kusema Baba yake ni Masanja
 
Kwa hiyo mangii aliacha mke kijijimoshi akawa na kipoozeo mjini

Ila wacchagga hiyo tabia ya kuacha wake Kijijini Bora imeisha, mliwapa wake zenu wakati mgumu sana
Ndiyo maana wengi huwa hawahoji uhalali wa mtoto wenyewe kitanda hakizai haramu [emoji3][emoji3]
 
Sio kweli hata walugulu morogoro wapo wengi kina nyange mfano huyo dayna(halima) nyange
Sasa Nyange aliyempa mimba mama Diamond ni Nyange wa Miamba-miamba huko Upareni na alikuwa mganga wa kienyeji anamtibu huyo mama huko milimani.
 
Toto jinga lisilo na msimamo, yeye mwenyewe hovyo, anashindwaje kuamua jambo hilo mwenyewe tu??

Sidhani kama kuna mwanamke mwenye akili atakubali kuolewa na mwanaume wa aina yake labda pesa zimpeleke tuu. Unashindwa kutoa msimamo kama mwanaume bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…