Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Nyange sio MCHAGA wala MPARE bali
MGWENO!
Wagweno ni intermidiate ya wapare na Wachaga yani ni mchanganyiko wa Wapare na Wachaga likazaliwa kabila liitwalo Ugweno linalopatikana Milima ya Ugweno wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro!
Tabia za Wagweno zinafanana na Wachaga zaidi kuliko Wapare.
Mila za Kigweno ni mchanganyiko wa Za kipare na za Kichaga kama vile
1, Kuweka vichwa vya wakuu ktk misitu ya familia
2, Kucheza ngoma kama za kipare Mjungu nk
3, Kilimo cha migomba na ufugaji wa ndani
Lugha ya kigweno kwa 90% inafanana na Kimachame na 10% kipare.
Wagweno ni Huslers kama walivyo wachaga na wameenea nchi nzima.
Diamond ni hustler sana hii ni picha tosha yakuwa anatoka kaskazini.
Sent using Jamii Forums mobile app