Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Nyange sio MCHAGA wala MPARE bali
MGWENO!
Wagweno ni intermidiate ya wapare na Wachaga yani ni mchanganyiko wa Wapare na Wachaga likazaliwa kabila liitwalo Ugweno linalopatikana Milima ya Ugweno wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro!
Tabia za Wagweno zinafanana na Wachaga zaidi kuliko Wapare.
Mila za Kigweno ni mchanganyiko wa Za kipare na za Kichaga kama vile
1, Kuweka vichwa vya wakuu ktk misitu ya familia
2, Kucheza ngoma kama za kipare Mjungu nk
3, Kilimo cha migomba na ufugaji wa ndani
Lugha ya kigweno kwa 90% inafanana na Kimachame na 10% kipare.
Wagweno ni Huslers kama walivyo wachaga na wameenea nchi nzima.

Diamond ni hustler sana hii ni picha tosha yakuwa anatoka kaskazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nijuavyo... Nyange ni ukoo wa kichagga kiasili. Ila nijuavyo wako wachagga kibao wamehamia na kulowea maeneo ya Morogoro, Handeni etc wakawa kama wazawa huko na serikali ndo iliwagawia.

Pia wako wazee enzi hizo kwenye koo ikatokea ugomvi basi mmoja anahama mazima na familia yake na kwenda mbali kabisa kuepuka ugomvi. Ni sawa na usikie Mallya ni mmachame. Haiwezekaniki. Kwetu kuna wazee walihama miaka hiyo kwa mambo ya ugomvi wengine umasaini huko wengine wakahamia marangu. Watu wanawaregard kama ndo kwao kumbe ni wahamiaji. Mfano mzuri ni hawa alina Ngorika. Wale ni wachagga wa Old Moshi ukoo wa Temba lakini fursa ikawahamishia kisangara kila mtu anaamini ni wapare na wakati sivyo. Hivyo sishangai kabisa.
 
"Nyange ni watu wa chato",alisikika mlevi mmoja akisema.
 
Wagweno hakuna ukoo wa Nyange.

Embu angalia Koo zaa kipare zenye majina yanayoanzia na herufi N
Nachai, Ndago, Ngasu, Ngomoi (Same), Ngomuo (Ugweno), Nguve, Ngwijo, Niarira, Nisaghurwe, Nkima, Ntarishwa, Ntekaniwa, NYANGE(Jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida), Nzao, Nziajose, Nziamwe,

Ukoo wa Nyange nimeu-bold hapo.
 
Kweli, vijana hawajui historia.

waende Kilombero, Kilosa na Ifakara wakashangae wachagga na wasukuma walivyojazana
Yaan nina ndugu kibao wamehamia huko toka 80s. Yaani wamelowea kbs aisee. Na wanapiga helaaa
 
hawa wapogoro mkuu, kama kina babu tale.

Mondi angekua mchaga angekuwa anashinda bar, angekua mpare angekua analia ugali kwa picha ya samaki
 
Ni kweli kabisa, Kuanzia Dakawa, Dumila mpaka unatokea Dodoma wamejaa wamasai na wagogo.

Ila Nyange ni ukoo wa kichaga na kipare historikali achana na haya majina ya kuazima ambayo kabila lolote linaweza kutumia kama jina kwa mtoto anayezaliwa
Yeah hiyo ni kawaida. Hata kule nyanda za juu kusini unakuta jina moja linapatikana kwenye koo zinatoka Mbeya, Iringa, Njombe na Songwe kutoka makabila tofauti.
 
Wagweno hakuna ukoo wa Nyange.

Embu angalia Koo zaa kipare zenye majina yanayoanzia na herufi N
Nachai, Ndago, Ngasu, Ngomoi (Same), Ngomuo (Ugweno), Nguve, Ngwijo, Niarira, Nisaghurwe, Nkima, Ntarishwa, Ntekaniwa, NYANGE(Jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida), Nzao, Nziajose, Nziamwe,

Ukoo wa Nyange nimeu-bold hapo.
Uko very right.
 
Kwa nijuavyo... Nyange ni ukoo wa kichagga kiasili. Ila nijuavyo wako wachagga kibao wamehamia na kulowea maeneo ya Morogoro, Handeni etc wakawa kama wazawa huko na serikali ndo iliwagawia.

Pia wako wazee enzi hizo kwenye koo ikatokea ugomvi basi mmoja anahama mazima na familia yake na kwenda mbali kabisa kuepuka ugomvi. Ni sawa na usikie Mallya ni mmachame. Haiwezekaniki. Kwetu kuna wazee walihama miaka hiyo kwa mambo ya ugomvi wengine umasaini huko wengine wakahamia marangu. Watu wanawaregard kama ndo kwao kumbe ni wahamiaji. Mfano mzuri ni hawa alina Ngorika. Wale ni wachagga wa Old Moshi ukoo wa Temba lakini fursa ikawahamishia kisangara kila mtu anaamini ni wapare na wakati sivyo. Hivyo sishangai kabisa.

Upo sawa kabisa,

Wakuu wote ila MOSHA aliyetawala sehemu ya juu ya kilema walimtii mremi na hata yeye alitiishwa baadaye akawa chini ya mremi.mremi alipokua mzee alimwachia ngowi mwanae ukuu.katika siku za ngowi paliondokea watu wengine waliokuja kukaa sango bondeni mwa mlima,na mkubwa wao ni kitangu,wageni hawa walikuwa watu wa vta kweli kweli,wakijilinda sana wasiingiliwe na ngowi,naye hakuweza kuwashinda,maana hakutawala siku nyingi akafa kabla ya mremi baba yake.
Iko hadithi ya kuwa ngowi alikufa kwa kuwa alitoa siri ya kutokewa na Mungu na kuamriwa kutawala kwa hekima na haki,alirithiwa utawala na Nyange mwanawe,lakini hakuwa na nguvu wala uwezo wa kutawala,kabla siku nyingi kupita musuo mjomba wake alimwondoa katika utawala,lakini Nyange alikimbilia mamba na kwa msaada wa soka mwanawe moye aliekuwa rafiki wa ngowi wa kwanza,alimwomba mafuluke mkuu wa mamba aje kumsaidia kumfukuza musuo,naye musuo alishindwa upesi sana akauawa vitani,sasa nyange akaurudia utawala,akatawala mpaka uzeeni,kisha akaiacha kazi ya utawala na Kombo mwanawe akaurithi utawala mahali pake.
 
Shida Baba Diamond hakumuoa huyo mama na walishaachana, waliishi kiholela kama mbuzi dume na mbuzi jike, hivyo matokeo yake ndio hayo ya kiholela.
Hata kwenda mahakamani hapo hakuna kitakachofanyika
Hahaha
Ndiyo shida ya haya mahusiano ya come and we stay halafu no ndoa
 
Kwa nijuavyo... Nyange ni ukoo wa kichagga kiasili. Ila nijuavyo wako wachagga kibao wamehamia na kulowea maeneo ya Morogoro, Handeni etc wakawa kama wazawa huko na serikali ndo iliwagawia.

Pia wako wazee enzi hizo kwenye koo ikatokea ugomvi basi mmoja anahama mazima na familia yake na kwenda mbali kabisa kuepuka ugomvi. Ni sawa na usikie Mallya ni mmachame. Haiwezekaniki. Kwetu kuna wazee walihama miaka hiyo kwa mambo ya ugomvi wengine umasaini huko wengine wakahamia marangu. Watu wanawaregard kama ndo kwao kumbe ni wahamiaji. Mfano mzuri ni hawa alina Ngorika. Wale ni wachagga wa Old Moshi ukoo wa Temba lakini fursa ikawahamishia kisangara kila mtu anaamini ni wapare na wakati sivyo. Hivyo sishangai kabisa.

Wachaga ukorofi mnaujua.
 
Hahaha
Ndiyo shida ya haya mahusiano ya come and we stay halafu no ndoa

Ndoa inaumuhimu wake hasa linapokuja suala la umiliki wa mali wakiwemo watoto.
Mwanamke akiamua kukuchapa kama hakuna ndoa anakuchapa hasa kwenye inshu ya mtoto kama hakuna ndoa rasmi. Kisa cha Muna Love na Baba Patick, ponea ponea ya Baba Patrick ilikuwa ni ndoa, hivyo kisheria Patrick alikuwa mwanaye, hata kama kibaolojia sio.

Na mwanamke kwenye suala la mali huchapika zaidi kama hakuna ndoa, ni rahisi kudhulumiwa na mumewe na kesi huwa ngumu zaidi.
Ila kama kuna ndoa kesi huwa bwerere hata wanaume tunajua hilo
 
Upo sawa kabisa,

Wakuu wote ila MOSHA aliyetawala sehemu ya juu ya kilema walimtii mremi na hata yeye alitiishwa baadaye akawa chini ya mremi.mremi alipokua mzee alimwachia ngowi mwanae ukuu.katika siku za ngowi paliondokea watu wengine waliokuja kukaa sango bondeni mwa mlima,na mkubwa wao ni kitangu,wageni hawa walikuwa watu wa vta kweli kweli,wakijilinda sana wasiingiliwe na ngowi,naye hakuweza kuwashinda,maana hakutawala siku nyingi akafa kabla ya mremi baba yake.
Iko hadithi ya kuwa ngowi alikufa kwa kuwa alitoa siri ya kutokewa na Mungu na kuamriwa kutawala kwa hekima na haki,alirithiwa utawala na nyange mwanawe,lakini hakuwa na nguvu wala uwezo wa kutawala,kabla siku nyingi kupita musuo mjomba wake alimwondoa katika utawala,lakini nyange alikimbilia mamba na kwa msaada wa soka mwanawe moye aliekuwa rafiki wa ngowi wa kwanza,alimwomba mafuluke mkuu wa mamba aje kumsaidia kumfukuza musuo,naye musuo alishindwa upesi sana akauawa vitani,sasa nyange akaurudia utawala,akatawala mpaka uzeeni,kisha akaiacha kazi ya utawala na Kombo mwanawe akaurithi utawala mahali pake.
Ha ha ha nice History. Ila kuna jamaa yangu ni ukoo wake na nikameuliza hii History sidhan kama anaijua. Yan sisi ni watu wa vitaaa
 
Hapo aliekomeshwa n Hamisa,kajibebesha mimba kbabe afu na Mtoto kampa jina la babu kibabe,Kumbe kampa jina la babu wa kambo
 
Back
Top Bottom