Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Nimegeuza upande mwengine na shilingi,sikuchoshi nimekuuliza Mondi kama angekuwa muuza mitumba kazi yake ya zamani angemg'ang'ania.
Haya "YES:

Kuna lingine? Kwani wauza mitumba hawana hela? Watu wamejenga na kujiendeleza kwa mitumba hiyohiyo. Ama unaichukulia poa? Nikutakie usiku mwema
 
Uhustler ni uchapakazi wa mtu husika, hauusiani na ukabila. Kuna wakaskazini wajinga wajinga tu wamejaa huku Tanganyika na kule visiwani. Achilia mbali vibaka kule Arusha.
 
Haya "YES:

Kuna lingine? Kwani wauza mitumba hawana hela? Watu wamejenga na kujiendeleza kwa mitumba hiyohiyo. Ama unaichukulia poa? Nikutakie usiku mwema
Sasa kwa nini hakumng'ang'ania kipindi hiko anambeza mitumba mpaka kufikia kuuza siso manake huko kote alipitia na mama yake,why now..........?

Mama Dangote ndio mcharuko/kicheche ila katimiza wajibu wake kwa mtoto wake kipindi akiwa hana hela mpaka sasa ana hela.
 
Yaaan ni hatari tupu kwa kweli, mara Mluguru, mara Mchaga au Mpare, heeeeeeh Dunia simama nishuke
 
Vip Diamond angekuwa muuza mitumba huyu mzee angemtafuta na kumng'ang'ania kama afanyavyo sasa.
Ndio maana nimeandika hapo inapokuwa kinyume chake ni changamoto, hakuna atakayehangaika na apeche alolo.
 
Noted Mkuu,

"Uhalisia ni kutokuwa laini katika biashara ili utoboe."

Ahsante kwa ushauri.
 
Namtombe baabaa
 
 
Bila shaka kwenye mikataba pia ametumia jina hilo. Mzee kama akikomaa alifute kisheria sijui athari yake itakuwa ya namna gani!
Huyu Mama Shamte inabidi awe anafunga BAKULI lake,utumbo anaoongea hauna tija kabisa zaidi ya kuharibu mambo,Mzee Abdul kashasema abadili jina asitumie jina lake.
 
Acha maneno mkuu, huyu baba mdogo wa diamond ni mluguru.... mondi angekua mchaga tungejua tu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…