Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Hakuna ushahidi wa Kihistoria na wala hakuna ukoo wa Nyange kwenye kabila la waluguru, nimeshatoa ushahidi hapo juuu, wewe kama unaushahidi hata wa kwenye google naomba uuweke hapa ili haya mambo yawe wazi.

Majina ya Kipare yanayoanzia na "N" Jina Nyange nimelikoleza

Nachai, Ndago, Ngasu, Ngomoi (Same), Ngomuo (Ugweno), Nguve, Ngwijo, Niarira, Nisaghurwe, Nkima, Ntarishwa, Ntekaniwa, Nyange (Jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida), Nzao, Nziajose, Nziamwe,

Fuata link hiyo >>Wapare - Wikipedia, kamusi elezo huru

Na hiyo>>>https://groups.google.com/group/vumwegroup/attach/d37afbbc50682ef9/WAPARE.doc?part=2

Zipo nyingi.

Wewe toa link moja tuu kuthibitisha madai yako
sasa unataka nitoe link gani wakati kinanyange wapo, waluguru wa mgeta,
 
Mimi nachojua ni kuwa Diamond alizaliwa baada ya condom kupasuka.
 
Week hii tumemaliza KWA dramas kibao kutoka KWA dangotes fmly [emoji3][emoji851]. Mama Dangote amesema mzee Abduly sio baba halisi wa mtoto Nyange. Huku na huku nikifatilia kupitia zamarad tv, mzee Abduly alikiri kwamba alikuwa anaishi nyumbani kwao kina mama Dangote, na aliolewa familia nzima ya mtoto Nyange, kuanzia bibi yake, mama zake wakubwa binamu zake, loool kumbe bi Samura tunamshangaa bure alivyo na uncle Shamte pale madale, tabia hii hajaanza leo[emoji857][emoji857][emoji857]

NB: kwa wanaomfahamu KWA ukaribu mzee Abduly hebu wamfundishe hiki kilichotokea kinaweza kugeuka kuwa mapato makubwa sana kwake, KILA combo Cha habari kikimfata aaliowe kwanza, ajue KWA Sasa yeye ni 'hot cake'
 
Hizi habari zina wenyewe mm ntaishia kuumiza mishipa ya kichwa bure.
 
Damu ya kichaga haipotei bure atarudi tu kufuata kitovu cha mzaa baba.
 
Back
Top Bottom