Hakuna ushahidi wa Kihistoria na wala hakuna ukoo wa Nyange kwenye kabila la waluguru, nimeshatoa ushahidi hapo juuu, wewe kama unaushahidi hata wa kwenye google naomba uuweke hapa ili haya mambo yawe wazi.
Majina ya Kipare yanayoanzia na "N" Jina Nyange nimelikoleza
Nachai, Ndago, Ngasu, Ngomoi (Same), Ngomuo (Ugweno), Nguve, Ngwijo, Niarira, Nisaghurwe, Nkima, Ntarishwa, Ntekaniwa,
Nyange (Jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida), Nzao, Nziajose, Nziamwe,
Fuata link hiyo >>
Wapare - Wikipedia, kamusi elezo huru
Na hiyo>>>
https://groups.google.com/group/vumwegroup/attach/d37afbbc50682ef9/WAPARE.doc?part=2
Zipo nyingi.
Wewe toa link moja tuu kuthibitisha madai yako