Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Kile unachokiendesha ndicho kinachokuendesha
Mtu anaendesha gari na gari linamuendesha mtu, paka kafia kwenye jungu
Yaani ameshajijengea negative aspect kwa wachagga.

Ukiacha biashara haramu za eg. Madawa ya kulevya na utapeli etc... huwa mtu akitusua utasikia pesa za madawa, mara msukule, jambazi, ama hela za uchawi.

Eg. Wakinga.... majority mutaji yao mingi imepatikana kwenye miti ya mbao. Na hata na hivyo ni baada ya serikali kufunga shughuli za viwanda vya mbao enzi hizo za 90s kilimanjaro hususani maeneo ya Tatakea na kuhamishia huko Iringa ndipo walipoanza kupanda miti or else wanhekua bado wamelala. Na still wanafanya kazi kupita kiasi. Wanapiga kazi mno. Wamedanikiwa kupiga hatua japo wanakua wakijifariji wamewatoa wachagga kkoo lkn ukiangalia idadi yao tuu generally inatia huruma. Lakini utasikia watu wanakuambja wakinga wana hela za mapaka. Hata siaminigi. Watu wanafanya kazi wanapata hela ila vijiweni wewe ni free mason. Hizi perceptions tuziache tutafute hela. Watu wanamenyeka mno.
 
Mkuu, hiyo wala haiapply uchaggani. Ni kila mahali. Na mpaka mparanganyiko utokee ina maana marehemu ama muhusika wa mali hakuweka sawa mambo. Kwamba ulomi kuja kudai mia mbili yake na panga umeona ishu sana eh? Hata mimi sitaki mazoea kwenye biashara. Kukopeshwa umefanyiwa hisani kwann usirudishe hela ga watu. Mtu anastruggle huko afikie malengo yake anajinyima hata kula na kuvaa vzr halaf uone mia 2 ni ndogo kwenye biashara? Usije ukajaribu kwangu pia nakukata kidari
Naheshimu mtizamo wako.

Kama wewe unaona mtu akikuzingua suluhu ni kumzingua kiasi cha kumkata good for you.

Binafsi hapana.
 
Nimekujibu kama ambavyo ulivyoileta maana ulitaka nikubaliane nawe juu ya hili[emoji23] maana sijui ni familia ngapi umeliona hilo. Ila nikuhakikishie we are good.

Tatizo maybe mkuu uliexpect nitaflow same rhythm na hoja yako. Ila hayo mambo hakunaga
 
Nimejikuta nanchukia huyu mama sijui kwa nini? Hata kama sio mtoto wa mzee abdul ila alimlea jamani.hii ni zawadi tosha. Ilibidi anyamaze.

Ila na litoto ni lijinga mm ningeingilia kati. Kuthamini mchango wa mzee abdul. Pole sana mzee abdul. Dunia itawafunza.
Yeye anadhani anamkomoa mzee Abdul,,

Kumbe ameshawasha taa za hatari kwa uncle shamte...

Bibi Sandra umeshajimaliza mwenyewe kwa cinema zako za hovyo.
 
Yaani ameshajijengea negative aspect kwa wachagga.

Ukiacha biashara haramu za eg. Madawa ya kulevya na utapeli etc... huwa mtu akitusua utasikia pesa za madawa, mara msukule, jambazi, ama hela za uchawi.

Eg. Wakinga.... majority mutaji yao mingi imepatikana kwenye miti ya mbao. Na hata na hivyo ni baada ya serikali kufunga shughuli za viwanda vya mbao enzi hizo za 90s kilimanjaro hususani maeneo ya Tatakea na kuhamishia huko Iringa ndipo walipoanza kupanda miti or else wanhekua bado wamelala. Na still wanafanya kazi kupita kiasi. Wanapiga kazi mno. Wamedanikiwa kupiga hatua japo wanakua wakijifariji wamewatoa wachagga kkoo lkn ukiangalia idadi yao tuu generally inatia huruma. Lakini utasikia watu wanakuambja wakinga wana hela za mapaka. Hata siaminigi. Watu wanafanya kazi wanapata hela ila vijiweni wewe ni free mason. Hizi perceptions tuziache tutafute hela. Watu wanamenyeka mno.

Jambo nzuri ni kuwa siku hizi makabila mengine yanaamka kuwaiga wachaga
 
Baba wa watu anadhalilishwa tu.
Tenda wema nenda zako
Hii ni mara ya 2 kumdhalilisha.
-- mwanzo mzee alitupiwa virago vyake nje aondoke,,

Ndy mzee akasepa zake na kumwacha mama diamond akiwa na marioo wake mpya.,,

Ajabu baadae anageuza kibao kwamba yeye mzee ndy aliyetelekeza family.
 
Jambo nzuri ni kuwa siku hizi makabila mengine yanaamka kuwaiga wachaga
Tutafute hela jamani. Tutafute hela kuepuka haya manyanyaso. Mzee Abdul angekua na hela asingedharaulika.

Tusiweke mipaka na tusiwe negative sana.

Naweza fanya kazi na yeyote.
 
Ukiacha Diamond ni msanii gani mwingine ambaye mama yake anajurikana?

Mama yake Mo Dewji unamjuwa? Mama yake Bakhressa unamjuwa?

Wanaojurikani huyu mama mpumbavu na mama yake Kanumba kwa sababu wote ni wapumbavu in same category.
Asanteee

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ukimsikiliza baba Diamond alipohojiwa na Zamaradi unaweza ukapata picha jinsi mama Diamond alivyokuwa ana gawa tunda hadi baba Diamond akanona hili si tunda tena bali ni frame ya kupangisha aisee..... halafu nimegundua kuwa hata Esma siyo mtoto wa mama Diamond kabisa..... lakini ni wazi kabisa mzee Abdul ana katariwa tuu kwakuwa hana hela na huyo mama anapenda sana kulalwa kiufupi..........
Huyu baba wangemsitiri lakini kwa haya wanaoyomfanyia hayatakaa yawaache........
Huyu mama aiseeee ni kiboko yani inaonekana alikuwa anafanya biashara ya kuuza mwili kabisa kama ukimsikiliza kwa makini baba Diamond.........aiseee
Duh
Enzi za ujana alikuwa mchruko

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Nimekujibu kama ambavyo ulivyoileta maana ulitaka nikubaliane nawe juu ya hili[emoji23] maana sijui ni familia ngapi umeliona hilo. Ila nikuhakikishie we are good.

Tatizo maybe mkuu uliexpect nitaflow same rhythm na hoja yako. Ila hayo mambo hakunaga

Nilitaka ukubalinae na mimi!

Wapi Mkuu nimesema ukubaliane na mimi?

I specifically said ni maoni yangu, wala huo wito wa kukubalina na mimi sijasema mahali.

Na sidhan kujadili mtizamo wangu ni amri ya kukutaka ukubaline na mimi.

Mkuu, I am really sorry, naelewa tatizo ni msingi wa mazungumzo yetu yanakufanya uamini nina negativity dhidi ya wachaga.

Mkuu natambua hakuna binadamu aliyekamilika, even mimi sijakamilika.

Naamini pamoja na udhaifu wa mwanadamu kila mtu ana mazuri yake.

Hata kama ukiendelea kuniona negative ni sawa, ila kutokana na hizo principle 2 sina sbb ya kuwa na kinyongo na wachaga hata kidogo na hata marafiki kutoka huko ninao.

I just appreciate the way wanadamu tulivyo. Only that.
 
Nimejikuta nanchukia huyu mama sijui kwa nini? Hata kama sio mtoto wa mzee abdul ila alimlea jamani.hii ni zawadi tosha. Ilibidi anyamaze.

Ila na litoto ni lijinga mm ningeingilia kati. Kuthamini mchango wa mzee abdul. Pole sana mzee abdul. Dunia itawafunza.
Na mie nashangaa Mondi yuko kimya tyuuh, wala hatoi tamko lolote kuhusiana na hili suala. Maskini mzee Abdul sijui anajisikiaje yaan.
 
Tutafute hela jamani. Tutafute hela kuepuka haya manyanyaso. Mzee Abdul angekua na hela asingedharaulika.

Tusiweke mipaka na tusiwe negative sana.

Naweza fanya kazi na yeyote.
Diamond kama angekuwa ana endelea kuuza mitumba,huyu mzee angemtafuta na kumng'ang'ania,kama sasa.

Au ndio mtoto mzuri ni wa baba na mbaya ni wa mama.
 
Wewe nawe unachisha mkuu. Nilishakupotezea na thread yako kule. Huku nikaushie maana unaforce vitu ambavyo havipo. Maana unaforce mambo ambayo tayari yameshajiri na yanaonekana. Bye
 
Nimegeuza upande mwengine na shilingi,sikuchoshi nimekuuliza Mondi kama angekuwa muuza mitumba kazi yake ya zamani angemg'ang'ania.
 
Nilitaka ukubalinae na mimi!

Wapi Mkuu nimesema ukubaliane na mimi?

I specifically said ni maoni yangu, wala huo wito wa kukubalina na mimi sijasema mahali.

Na sidhan kujadili mtizamo wangu ni amri ya kukutaka ukubaline na mimi.

Mkuu, I am really sorry, naelewa tatizo ni msingi wa mazungumzo yetu yanakufanya uamini nina negativity dhidi ya wachaga.

Mkuu natambua hakuna binadamu aliyekamilika, even mimi sijakamilika.

Naamini pamoja na udhaifu wa mwanadamu kila mtu ana mazuri yake.

Hata kama ukiendelea kuniona negative ni sawa, kutokana na hizo principle 2 sina sbb ya kuwa na kinyongo na wachaga hata kidogo na hata marafiki kutoka huko ninao. I just appreciate the way wanadamu tulivyo. Only that.
Noo mkuuu... sasa hapa wataka nijisikie vibaya sasa. Usiwe hv banaaa. Kutaka nikubaliane nawe is not an option maana ndo mtazamo ulikua nao. Nami nikatataka ujue uhalisia. Mfanyabiashara yeyote hatopenda kabisa masikhara kwenye biashara zake. Na mpaka wao kufika walipofika ni kwakua waliamua kusimamia misingi na kanuni zao walizojiwekea. Ukiwa laini katika biashara hutoboi.
 
Back
Top Bottom