Nilitaka ukubalinae na mimi!
Wapi Mkuu nimesema ukubaliane na mimi?
I specifically said ni maoni yangu, wala huo wito wa kukubalina na mimi sijasema mahali.
Na sidhan kujadili mtizamo wangu ni amri ya kukutaka ukubaline na mimi.
Mkuu, I am really sorry, naelewa tatizo ni msingi wa mazungumzo yetu yanakufanya uamini nina negativity dhidi ya wachaga.
Mkuu natambua hakuna binadamu aliyekamilika, even mimi sijakamilika.
Naamini pamoja na udhaifu wa mwanadamu kila mtu ana mazuri yake.
Hata kama ukiendelea kuniona negative ni sawa, kutokana na hizo principle 2 sina sbb ya kuwa na kinyongo na wachaga hata kidogo na hata marafiki kutoka huko ninao. I just appreciate the way wanadamu tulivyo. Only that.