Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Sky Eclat huyu mzee Abdul ni wa hovyo sana. Angekua baba mwenye upendo kwa damu yake asingeongea haya maujinga yake....
Ukitaka ku deal na kichaa kuwa kichaa zaidi yake,mzee kaongea ukweli tu na good time alimpa we unafikiri mzee zamani alikuwa ovyo kivile

Ova
 
Ukitaka ku deal na kichaa kuwa kichaa zaidi yake,mzee kaongea ukweli tu na good time alimpa we unafikiri mzee zamani alikuwa ovyo kivile

Ova
Kuishi nyumba moja na wakwe huku akilala na binti yao ni kuwa mtu wa hovyo kuliko hovyo zote duniani
 
Kuishi nyumba moja na wakwe huku akilala na binti yao ni kuwa mtu wa hovyo kuliko hovyo zote duniani
We unafikiri mzee abdul alianzia maisha hapo tandale?we unaamini mzee hakuwahi msupport huyo mama

Ova
 
ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU
Hivi kuna haja gani kwa swala hili familia wameliweka ktk mazingira haya ya AIBU .

Kama mama alikuwa ana wasiwasi na baba wa Mtoto kwani wasifanye DNA ,kwani huyo Diamond anahaki ya kujua Bialogical father wake hata kama Baba hakumlea ili kujijua umetoka ktk family ipi hili ni jambo la msingi sn kwake yeye kama Diamond lingemsaidia kujua hilo japo watu wengi hawajali lkn ni muhimu kujijua wewe kama mtoto unatokana na family ipi.

Ndio maan kwenye Nchi zilizo endelea mtoto anavyo zaliwa lazima baba aweke sign kwenye birth certificate ya mtoto lkn BABA anaweza kukataa vile vile kuweka sign kama anawasi wasi na mtoto kwa hivyo Jina la BABA linakuwa wazi kwenye cheti paka hapo atakapo jiridhisha na Mtoto.
 
ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU
Hivi kuna haja gani kwa swala hili familia wameliweka ktk mazingira haya ya AIBU ....
Bongo wakina mama wakipachikwa mimba wanangalia nani ambambikize mtoto
Huo ndiyo ukweli

Ova
 
Kwakweli tuko tofauti, yule mzee angepotezea kamera sikunyingi ila hii ya juzi ameongea kwa jazba ndiyo kupelekea kuongea ya kitandani. Kumbe Queen Darlene alimuonya baada ya mambo kuwa mambo alimuambia dingi asikubali kuhojiwa.

Kule kwetu shangazi Mwanauani alitufundisha baba wa kwanza kumkubali mtoto ndiyo baba yake. Hata ushikiwe kisu usimtaje baba mwingine. Hii ni kutunza heshima yako na ya mwanao.

Bi Sandra alikosa ushauri wa shangazi Mwanauani.
 
Mkijua background ya huyo mama aliyopitia na kufanya kwa aliyozungumza kwake ni kawaida tu

Ova
 
Maji yashamwagika hayo
 
Nyange ni wasukuma wa NYEGEZI Mwanza, msikasahau kale ka wimbo ka nyege nyege NYEGEZI, hapo dogo alikuwa anamuenzi dingi wake marehemu Nyange 😂
 
Mshikeni huyu
Kashalewa
 
Ninamuonea huruma Diamond, hii issue itakua inamsumbua kisaikolojia.. Fikiria Star mkubwa kama yule tunaambiwa alipatikana baada ya mpira kupasuka. Fikiria watu wa level yake duniani watakua wameipokea vipi hii taarifa.
Kwamba condom ilipasuka ndio diamond akapatikana...daaah
Kwanza miaka ya 80, hata hizo condom zilikuwepo jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…