Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka ku deal na kichaa kuwa kichaa zaidi yake,mzee kaongea ukweli tu na good time alimpa we unafikiri mzee zamani alikuwa ovyo kivileSky Eclat huyu mzee Abdul ni wa hovyo sana. Angekua baba mwenye upendo kwa damu yake asingeongea haya maujinga yake....
Kuishi nyumba moja na wakwe huku akilala na binti yao ni kuwa mtu wa hovyo kuliko hovyo zote dunianiUkitaka ku deal na kichaa kuwa kichaa zaidi yake,mzee kaongea ukweli tu na good time alimpa we unafikiri mzee zamani alikuwa ovyo kivile
Ova
We unafikiri mzee abdul alianzia maisha hapo tandale?we unaamini mzee hakuwahi msupport huyo mamaKuishi nyumba moja na wakwe huku akilala na binti yao ni kuwa mtu wa hovyo kuliko hovyo zote duniani
Binti yao nani kalala nayeKuishi nyumba moja na wakwe huku akilala na binti yao ni kuwa mtu wa hovyo kuliko hovyo zote duniani
Bongo wakina mama wakipachikwa mimba wanangalia nani ambambikize mtotoELIMU ELIMU ELIMU ELIMU
Hivi kuna haja gani kwa swala hili familia wameliweka ktk mazingira haya ya AIBU ....
Aibu mrangi khaBinti yao nani kalala naye
Ova
Kwakweli tuko tofauti, yule mzee angepotezea kamera sikunyingi ila hii ya juzi ameongea kwa jazba ndiyo kupelekea kuongea ya kitandani. Kumbe Queen Darlene alimuonya baada ya mambo kuwa mambo alimuambia dingi asikubali kuhojiwa.Sky Eclat huyu mzee Abdul ni wa hovyo sana. Angekua baba mwenye upendo kwa damu yake asingeongea haya maujinga yake.
Kwa hii kauli ni wazi kabisa hana upendo, hana uchungu wala haioni thamani ya huyu kijana. Zaidi alikua anatumia jina NASIBU ABDUL JUMAA kama fimbo kwa Nasib na mamake ili apate pesa huku akijua wazi mambo alishayatindinganya zamaniiiiii
Angekua mtoto wake kama anavyodai
1.asingekua kwenye medias kila siku kumuabisha; wala
2.Asingesema a stop kutumia jina lake
Wanaume wenye watoto wao wa damu wanamshanga huyu mzee na kumwona asivyojielewa
Mama Nasib ana mapungufu yake ila kwa Abdul alikosea sana kumhifadhi nyumbani kwao na hata kumsitiri kwa miaka yote ambayo mwanae amekua star. Bora angemaliza hili jambo mapema kabisa
Ila hili nalo litapita na mama Nasib ataendelea kuwa mama shujaa kwa mwanae
Mkijua background ya huyo mama aliyopitia na kufanya kwa aliyozungumza kwake ni kawaida tuKwakweli tuko tofauti, yule mzee angepotezea kamera sikunyingi ila hii ya juzi ameongea kwa jazba ndiyo kupelekea kuongea ya kitandani. Kumbe Queen Darlene alimuonya baada ya mambo kuwa mambo alimuambia dingi aikubali kuhojiwa.
Kule kwetu shangazi mwanauani alitufundisha baba wa kwanza kumkubali mtoto ndiyo baba yake. Hata ushikiwe kisu usimtaje baba mwingine. Hii it’s kutunza heshima yako na ya mwanao.
Bi Sandra alikosa ushauri wa shangazi Mwanauani.
Maji yashamwagika hayoKwakweli tuko tofauti, yule mzee angepotezea kamera sikunyingi ila hii ya juzi ameongea kwa jazba ndiyo kupelekea kuongea ya kitandani. Kumbe Queen Darlene alimuonya baada ya mambo kuwa mambo alimuambia dingi aikubali kuhojiwa.
Kule kwetu shangazi mwanauani alitufundisha baba wa kwanza kumkubali mtoto ndiyo baba yake. Hata ushikiwe kisu usimtaje baba mwingine. Hii it’s kutunza heshima yako na ya mwanao.
Bi Sandra alikosa ushauri wa shangazi Mwanauani.
Mama Nasib bhanaNijibu mama d
Binti yao gani huyo
Ova
Huyo mama mshamba sana mswaz sanaMama Nasib bhana
Mshikeni huyuSky Eclat huyu mzee Abdul ni wa hovyo sana. Angekua baba mwenye upendo kwa damu yake asingeongea haya maujinga yake.
Kwa hii kauli ni wazi kabisa hana upendo, hana uchungu wala haioni thamani ya huyu kijana. Zaidi alikua anatumia jina NASIBU ABDUL JUMAA kama fimbo kwa Nasib na mamake ili apate pesa huku akijua wazi mambo alishayatindinganya zamaniiiiii
Angekua mtoto wake kama anavyodai
1.asingekua kwenye medias kila siku kumuabisha; wala
2.Asingesema a stop kutumia jina lake
Wanaume wenye watoto wao wa damu wanamshanga huyu mzee na kumwona asivyojielewa
Mama Nasib ana mapungufu yake ila kwa Abdul alikosea sana kumhifadhi nyumbani kwao na hata kumsitiri kwa miaka yote ambayo mwanae amekua star. Bora angemaliza hili jambo mapema kabisa
Ila hili nalo litapita na mama Nasib ataendelea kuwa mama shujaa kwa mwanae
Hata waswazi wanastahili kupataHuyo mama mshamba sana mswaz sana
Pesa imekosea njia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwake
Ova
Kwamba condom ilipasuka ndio diamond akapatikana...daaahNinamuonea huruma Diamond, hii issue itakua inamsumbua kisaikolojia.. Fikiria Star mkubwa kama yule tunaambiwa alipatikana baada ya mpira kupasuka. Fikiria watu wa level yake duniani watakua wameipokea vipi hii taarifa.
Mama diamond nyangeMkijua background ya huyo mama aliyopitia na kufanya kwa aliyozungumza kwake ni kawaida tu
Ova