Salam Namastee..
Kwa mlioko Dar hasa wanaume mmeshuhudia live kisa kipya cha 2021, sisi wa mikoan tunazipata huku na kule
Mzee Abdul kanyimwa mtoto baada ya miaka 30's na kalipokea hilo kwa busara sana kama ambavyo interview yake inajieleza huko mitaa ya yutub.
Ikiwa ni kweli au ni kiki tu hiyo ni shauri yao, hapa ntadili na maudhui tuu katika ground ya uhalisia kwa kuwa kuna kitu cha kujifunza kwa wanaume ambao mna tabia zifuatazo generally;
1. Kuzaa na kila mwanamke unaekua nae kwenye uhusiano
2. Kuzaa na mwanamke ambaye ameshazalishwa kabla
3. Kuzaa na mwanamke aliyewahi kutoa mimba
4. Kuzaa na mwanamke ulieah au aliewah kufumaniwa
5.Kuzaa na mwanamke wa mtu
6. Kuzaa na mwanamke mweny umri mkubwa na hakuwa wa kwako
7. Kukataa mimba alaf badae ukaikubali
N.k
Orodha ni ndefu lkn kiufupi hawa viumbe wa kike inahitaji busara ya ziada kuish nao, kama hujakomaa akili huwez kuelewa signals. Kati yao hakuna aliekamilika lkn mweny dosar kubwa yupo kweny risky kubwa ya kukudanganya
Hakuna guarantee kuwa huyu ni mwanamke wako tuu, zaidi ni kujipa imani tuu labda kwa sababu ya ndoa n.k lkn tabia inaweza kubadilika wkt wowote.
Niliwahi kuandika hapa uzi kuhusu mwanaume utajuaje mtoto ni wa kwako, uzi ule ni muhim kwa mwanme kipitia tena usije kujuta.
Kwa akili ya haraka haraka mtoto hasa wa kiume mara nyingi lzm afanane na baba, kias chapa ikitoka hivyo wengi inawafiji lkn wanasahau kuwa mtoto mchanga hua anafanana na kila mtu ata kama si baba ake, unaeza kuta sikio au pua au nin kimoja lzm kiwe chako unafananishiwa ili ikupe faraja, ulivyo fala unakubali kiurahisi na signal kibao ukazipuuza, akikua kua utaambiwa anafanana na ndugu flan marehem upande wa mama
Kipindi kizuri cha kuchunguza mtoto kuwa ni wako au laa ni kabla hajaanza primary, punguza ubisy pamoja na ugumu wa maisha kuwa nae karib na conclusion is not a matter ya uchunguz wa mwaka mmoja au na kichele n.k.
DNA can be manipulated, is not only a mjor factor to rely on, but it can assist to a better conclusion though it is not stand alone
Wanawake hapa mpite tu wala msicoment mtazidisha presure kwa vijana wa kiume maana siri mnazozibeba nyie nizaid ya serikali, alaf sis wanaume ndo wananchi mnatuchagulia tu leo mtupe siri hii kesho ile..
##maoniyang#