Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Baba nae ni mpumbavu kukubali kuazimwa jina.. Sasa limerudishwa...

Hao akina Nyange nao wapumbavu square..

Therefore ni Upumbavu juu ya Upumbavu.

Hatujifunzi upumbavu.

Tuachane na upumbavu wao.
 
Salam Namastee..

Kwa mlioko Dar hasa wanaume mmeshuhudia live kisa kipya cha 2021, sisi wa mikoan tunazipata huku na kule

Mzee Abdul kanyimwa mtoto baada ya miaka 30's na kalipokea hilo kwa busara sana kama ambavyo interview yake inajieleza huko mitaa ya yutub.

Ikiwa ni kweli au ni kiki tu hiyo ni shauri yao, hapa ntadili na maudhui tuu katika ground ya uhalisia kwa kuwa kuna kitu cha kujifunza kwa wanaume ambao mna tabia zifuatazo generally;

1. Kuzaa na kila mwanamke unaekua nae kwenye uhusiano
2. Kuzaa na mwanamke ambaye ameshazalishwa kabla
3. Kuzaa na mwanamke aliyewahi kutoa mimba
4. Kuzaa na mwanamke ulieah au aliewah kufumaniwa
5.Kuzaa na mwanamke wa mtu
6. Kuzaa na mwanamke mweny umri mkubwa na hakuwa wa kwako
7. Kukataa mimba alaf badae ukaikubali
N.k

Orodha ni ndefu lkn kiufupi hawa viumbe wa kike inahitaji busara ya ziada kuish nao, kama hujakomaa akili huwez kuelewa signals. Kati yao hakuna aliekamilika lkn mweny dosar kubwa yupo kweny risky kubwa ya kukudanganya

Hakuna guarantee kuwa huyu ni mwanamke wako tuu, zaidi ni kujipa imani tuu labda kwa sababu ya ndoa n.k lkn tabia inaweza kubadilika wkt wowote.

Niliwahi kuandika hapa uzi kuhusu mwanaume utajuaje mtoto ni wa kwako, uzi ule ni muhim kwa mwanme kipitia tena usije kujuta.

Kwa akili ya haraka haraka mtoto hasa wa kiume mara nyingi lzm afanane na baba, kias chapa ikitoka hivyo wengi inawafiji lkn wanasahau kuwa mtoto mchanga hua anafanana na kila mtu ata kama si baba ake, unaeza kuta sikio au pua au nin kimoja lzm kiwe chako unafananishiwa ili ikupe faraja, ulivyo fala unakubali kiurahisi na signal kibao ukazipuuza, akikua kua utaambiwa anafanana na ndugu flan marehem upande wa mama

Kipindi kizuri cha kuchunguza mtoto kuwa ni wako au laa ni kabla hajaanza primary, punguza ubisy pamoja na ugumu wa maisha kuwa nae karib na conclusion is not a matter ya uchunguz wa mwaka mmoja au na kichele n.k.

DNA can be manipulated, is not only a mjor factor to rely on, but it can assist to a better conclusion though it is not stand alone

Wanawake hapa mpite tu wala msicoment mtazidisha presure kwa vijana wa kiume maana siri mnazozibeba nyie nizaid ya serikali, alaf sis wanaume ndo wananchi mnatuchagulia tu leo mtupe siri hii kesho ile..

##maoniyang#
 
Mtoto tu mm ntamtambua kwavyovyote wanawake wasituchange kwa hili mm mtoto wangu ntambua tu kama sijalandisha mm atalandisha mama au baba ata wadogo zangu
 
La kujifunza usiingie kwenye mahusiano na kahaba.

Uzuri wa mwanamke tabia.
Wote walikuwa wala bata tu mkuu. Itakuwa labda walikutana Club.

Maana kuna screenshot ya huyo mama nimeiona akiwa mjamzito ( anasema ya Esma ) lakini pamoja na mimba alikuwa akienda Disco Mbowe ( baadaye ikabadilishwa jina na kuwa Bilicanus )
 
Mi nachompenda diamond ni very smart.. watu wangejua mambo yote yanapangwa haya kuteka instagram na kuingiza pesa youtube..

Harusi ya esma na msizwa ni planned, haya maneno ya rikado momo nina uhakika ni planned... yaani wanapiga hela kiurahisi sana zama hizi za social network

Umbea unakutajirisha fasta ukijua kuutumia. Diamond na familia yake wanalijua hilo..ndio wanawapa umbea sasa kama huo wa kuzua tu

Umbea umempa shigongo utajiri

Umbea umewapa watu wengi ajira wanaendesha magari mazuri na wanajenga kina juma lokole, carry mastory, kumbuka, shilawadu etc

Alafu kesho ndio unataka kuwa hawe mbunge wako kupitia ccm
 
Habari za mujini ni kuwa Shamte ameujengea mchepuko nyumba. Akiwa anakula bata na warembo wa mujini anamuita mama Dangote “Bi Cheka”.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah mjini sihami ng'oooooh.
 
Mpaka sasa bado anakitembeza, katoka kunitongoza muda si mrefu nimemwambia mpaka nimkubalie basi anipangie nyumba Tandale kwa Mtogole na aninunulie bajaji, sina gharama sana.
Duuuuuuh u marioo on the truck.
 
Ila mama zetu mtihani, ukikosana na demu maneno, ukikosana na mke hapalaliki, ukikosana na mama utatishiwa laana, kosana na bibi ndio balaa!
Ngachoka kabisa...
 
Huyu mondi nae kakubaliana na mama yake leo hii kupitia wasafi fm, et aligundua hilo akiwa na 11yrs. Kama ni hivyo anatakiwa kujivunia mzee Abdul sanaaaaa kuliko mama yake. Fala kweli huyu kenge nae🤪
 
Back
Top Bottom