Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkonoVery sad, mimi kinachonishangaza ni kwa nini alinyamaza siku zote, hakumwambia mzazi mwenzie kama mtoto si wake?
Wote walikuwa wala bata tu mkuu. Itakuwa labda walikutana Club.La kujifunza usiingie kwenye mahusiano na kahaba.
Uzuri wa mwanamke tabia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi inaonekana bi sandra "kakitembeza" sana enzi za ujana wake....hii familia bana mama malaya, baba malaya, watoto malaya
Mi nachompenda diamond ni very smart.. watu wangejua mambo yote yanapangwa haya kuteka instagram na kuingiza pesa youtube..
Harusi ya esma na msizwa ni planned, haya maneno ya rikado momo nina uhakika ni planned... yaani wanapiga hela kiurahisi sana zama hizi za social network
Umbea unakutajirisha fasta ukijua kuutumia. Diamond na familia yake wanalijua hilo..ndio wanawapa umbea sasa kama huo wa kuzua tu
Umbea umempa shigongo utajiri
Umbea umewapa watu wengi ajira wanaendesha magari mazuri na wanajenga kina juma lokole, carry mastory, kumbuka, shilawadu etc
UchafuuuuuWee bwana masingke maza wanajua kugegedana...mie mpaka leo mwanamke ambaye niligegedana nae nikafurahi ni single maza....wanajitumansana kwanbed hawa.
Ila tamuuuuuuuUchafuuuuu
Aggghhhhh huo uchafu kuleni wenyeweIla tamuuuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah mjini sihami ng'oooooh.Habari za mujini ni kuwa Shamte ameujengea mchepuko nyumba. Akiwa anakula bata na warembo wa mujini anamuita mama Dangote “Bi Cheka”.
Duuuuuuh u marioo on the truck.Mpaka sasa bado anakitembeza, katoka kunitongoza muda si mrefu nimemwambia mpaka nimkubalie basi anipangie nyumba Tandale kwa Mtogole na aninunulie bajaji, sina gharama sana.
Duuuuuuh u marioo on the truck.Mpaka sasa bado anakitembeza, katoka kunitongoza muda si mrefu nimemwambia mpaka nimkubalie basi anipangie nyumba Tandale kwa Mtogole na aninunulie bajaji, sina gharama sana.