Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Mzee anahojiwa sababu haswa aliyotengana na huyo mama ni ipi? Anajibu kuwa kipindi hicho kuna jamaa amemtaja na jina alitoka South Africa karudi Bongo. Huyo Bi. Mkubwa akawa anaruka nae nyumbani akawa anarudi mpaka saa 8 usiku.We vipi?
Dawa gani ituingie?
Huo umalaya , kutapatapa, utapeli na wizi. Mi ningedai fidia ambayo wangelipa mama na hiyo haramu yake mpaka iwe historia kwa watu wa aina hii.
Wakipima DNA utakuta hata aliyetajwa sie?
Wamama wadangaji na kumbukumbu hawana. Aibu!!
Mimba za uwanja wa fisi...umelewa bwii ..matap tap
Ikafika mahala mpaka huyo Diamond anamuulizia mama yuko wapi Mzee anajibu atarudi usihofu! Mzee wa watu akashindwa kuvumilia akaamua kuondoka kurudi kwao K/KOO kwa hasira mazima. Kipindi hicho Diamond yupo kidato cha kwanza.
Mzee ameishia kufunguka hapo tu! Ila anakwambia hata mamakwe anafahamu ni kwa nini alimucha mama Diamond. Ijapokuwa hakumuoa ila alishamtolea barua ya uchumba kwao.
Na jina la Naseeb ni jina alilompatia yeye kwani ni jina la baba yake (Babu wa diamond). Amesema mtoto hagombaniwi! Maadamu amesema yeye si baba mzazi haya! Ila yeye anamtakia mema kwa kwenye maisha yake.