Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

We vipi?
Dawa gani ituingie?
Huo umalaya , kutapatapa, utapeli na wizi. Mi ningedai fidia ambayo wangelipa mama na hiyo haramu yake mpaka iwe historia kwa watu wa aina hii.

Wakipima DNA utakuta hata aliyetajwa sie?

Wamama wadangaji na kumbukumbu hawana. Aibu!!

Mimba za uwanja wa fisi...umelewa bwii ..matap tap
Mzee anahojiwa sababu haswa aliyotengana na huyo mama ni ipi? Anajibu kuwa kipindi hicho kuna jamaa amemtaja na jina alitoka South Africa karudi Bongo. Huyo Bi. Mkubwa akawa anaruka nae nyumbani akawa anarudi mpaka saa 8 usiku.

Ikafika mahala mpaka huyo Diamond anamuulizia mama yuko wapi Mzee anajibu atarudi usihofu! Mzee wa watu akashindwa kuvumilia akaamua kuondoka kurudi kwao K/KOO kwa hasira mazima. Kipindi hicho Diamond yupo kidato cha kwanza.

Mzee ameishia kufunguka hapo tu! Ila anakwambia hata mamakwe anafahamu ni kwa nini alimucha mama Diamond. Ijapokuwa hakumuoa ila alishamtolea barua ya uchumba kwao.

Na jina la Naseeb ni jina alilompatia yeye kwani ni jina la baba yake (Babu wa diamond). Amesema mtoto hagombaniwi! Maadamu amesema yeye si baba mzazi haya! Ila yeye anamtakia mema kwa kwenye maisha yake.
 
Mzee Abdul nadhani ana tatizo la IQ. Kama ni mm ningesema siongei na media yoyote unless waje na hela ya kutosha.

Yeye anaongea tu na kila kanjanja, wao wanapa content, wanapiga hela ilhali yeye wanamwacha hivyo hivyo.
Jana kaongea na media kama tatu za Youtube zikiwemo Jicho la Uswazi,SnS leo kafanya interview na Zamaradi Mketema.Huyu anaonekana si fighter ni tozi fulani lilokuwa linapenda kitonga,kisimama mwenyewe hawezi.

Nilitizama interview ya jana alikili akiwa na shida Diamond hutumia fedha sometimes mpaka million,siku nyingine laki 2 ,3.......Ila kwa jinsi anavyo onekana kama bado hajalizika ,sababu anasema haiwezekani wengine wapewa hela nyingi kuliko yy,so bila shaka atakuwa anammind Shamte.

Huyu sasa hivi ni muda wa kuonyesha uanaume wake,hajafikisha hata miaka 60 bado ana nguvu,achane na media hizi atafute mishe apige,kwa ajili ya wanae aliowapata uzeeni,huku kuhojiwa hojiwa anajichoresha,kwani ana miaka zaidi ya 8 anaongea yaleyale,mpaka sometimes watu wanamtumia kutengeneza kiki.

Kuna mdada wa London kamtumia kwa kujifanya yeye dada yake Diamond kaja kumpatanisha na mwanae,habari yote aliisimamia Global,kuna wale watoto waliotoa dudu la yuyu vile,yaani wame mgeuza kama toi.

Yaani ukimtiza ni wazee fulani wasela wasiopenda kufanya kazi na wanapenda sana umaarufu,sababu vitu anavyo vifanya si vya mzee mwenye hekima.

Mimi nakwambia huyu mzee atafanyiwa interview na channels zote za Youtube mpaka za uchochoroni,yeye afunike kombe afanye mambo yake ana watoto aliowapata uzeeni wana mtegemea,kama kweli kaonewa Mungu atamlipia,ila kama mwenye makosa anachokipata kwa sasa anastahili.
 
Bahati mbaya ulini-quote kabla sijaongezea nyama kwamba "provided mwenyewe Mzee Juma alifahamu kwamba jina lake linatumika, hapo hakuna kosa lolote"! Kwamba kwanini litumike wakati mtoto sio wake, hiyo haiwezi kuwa issue kwa sababu watoto wengi tu wanatumia majina ya baba ambao sio wao!! Kama asingefahamu, hapo ndo angesema jina lake limetumika bila idhini yake!!

Mwenyewe anasema kabisa hakuwahi kujua hilo kua mtoto sio wake Ndio kasikia jana
 
Anguko la Mondi linakaribia. Tuanzea ku, count down hii 2021 mpaka ikifika December mtanielewa.
1.TV kufungiwa.
2.Kumkana Baba yake.
3.....
4..........
 
S
Anguko la Mondi linakaribia. Tuanzea ku, count down hii 2021 mpaka ikifika December mtanielewa.
1.TV kufungiwa.
2.Kumkana Baba yake.
3.....
4..........
Subiri ndege feli,uzuri jamii forum ipo hii komenti yako tuairudi mwezi 12,huyo kuongea hajaanza leo huu mwaka wa nane.

Mwaka umeanza tu kapata nominations tatu za MTV MAMA,WAAH naye inazidi kupepea na kufanya vizuri.
 
Single mama mliozalishwa na kutelekezwa kwa umalaya mna tabu sana pumbav
Na umalaya wetu tunawakomesha...endeleeni kutelekeza watoto. Unaniacha single maza hlf nimpe mtoto jina lako thubutuu, wajibika m.sengerema
 
Mzee awe na presha ipi wakati alimshakana Diamond kipindi hana mafanikio, kwahiyo aje apate presha sahivi ni namna gani mali zinavyowatoa roho watu

Sio kweli hajawahi mkana ukipata muda kadi kilo ze interview kafanya na Zama umsikie..
 
Na umalaya wetu tunawakomesha...endeleeni kutelekeza watoto. Unaniacha single maza hlf nimpe mtoto jina lako thubutuu, wajibika m.sengerema
Punguza stress za bwana wako.


Lea mama utakula jeuri yako.


Bwana kakuchezea mbunye imeshatanuka.


Chuchu na maziwa yamekuwa ndala. Unakuja kutoa povu.


Huna soko Lea mama mtoto aje kuwa kama Diamond umkane Baba Yake.
 
Hello JF,

Kama mnavyojua mwanamke akipata mimba ana uhakika mimba ni yake...

Ila kwa wanaume mimba hakuna guarantee ya kujua ni yake/ingawa kuna DNA testing siku hizi...

Swala la partenity ni suala linalowanyima usingizi wanaume...

Jambo ambalo lilikuwepo tangu zamani,

Mpaka leo it is believed wanaume wengi kuchepuka ni katika harakati za kutaka maximizing their chances of being a father, sababu kuzaana ndio lengo kuu la kuwepo sisi duniani.

Anyway,

nilichotaka kusema leo,

ingawa wanawake tunapenda ubuyu but watakaoongea sana kwenye hii ishu ya Diamond ni wanaume! lol

Tutegemee nyuzi nyingi za wakaka humu kuhusu hili... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Mama Diamond kagusa pale panapouma...

A reminder of their worst nightmares!

Wanaume wa humu tulieni tu dawa iwaingie[emoji1787][emoji1787]

************* Diamond, is either uwaache wote baba zako au uwe nao wote, ukijifanya kuchagua mmoja over the other,the public wont forgive you. Anyway its your life.

Leo nimejiskia tu kuandika chochote....lol
Useless
 
Punguza stress za bwana wako.


Lea mama utakula jeuri yako.


Bwana kakuchezea mbunye imeshatanuka.


Chuchu na maziwa yamekuwa ndala. Unakuja kutoa povu.


Huna soko Lea mama mtoto aje kuwa kama Diamond umkane Baba Yake.
Nani ana stress kati ya mimi na wewe, watu wanajibu kwa hoja umekazania matusi. Kafirwe huko achana na mimi.
Mama diamond na mzee Abdul nani kapoteza? Utaishia kuwa kama yeye tu huna mbele wala nyuma. Mama anakula maisha na umalaya wake.
Na wewe kuwa Malaya maana unanionea wivu...matako wewe
 
Na wanaume ndo wanamtukana Sana huyo mama wakati na wao wamezaa hovyo. Na sioni Cha kumlaumu mama diamond KWA kuwa muwazi KWA hilo
 
Back
Top Bottom