Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Ukimsikiliza baba Diamond alipohojiwa na Zamaradi unaweza ukapata picha jinsi mama Diamond alivyokuwa ana gawa tunda hadi baba Diamond akanona hili si tunda tena bali ni frame ya kupangisha aisee..... halafu nimegundua kuwa hata Esma siyo mtoto wa mama Diamond kabisa..... lakini ni wazi kabisa mzee Abdul ana katariwa tuu kwakuwa hana hela na huyo mama anapenda sana kulalwa kiufupi..........
Huyu baba wangemsitiri lakini kwa haya wanaoyomfanyia hayatakaa yawaache........
Huyu mama aiseeee ni kiboko yani inaonekana alikuwa anafanya biashara ya kuuza mwili kabisa kama ukimsikiliza kwa makini baba Diamond.........aiseee
 
Wewe ni mwanaume?kama ndio basi topic imekugusa kama vile maelezo yanavyosema... mama Diamond jamani sijui tumtafutie adhabu gani?? 🀣🀣
Atalipwa na Mungu halafu siumizwagi na uchafu namna hiyo
 
Ukiacha Diamond ni msanii gani mwingine ambaye mama yake anajurikana?

Mama yake Mo Dewji unamjuwa? Mama yake Bakhressa unamjuwa?

Wanaojurikani huyu mama mpumbavu na mama yake Kanumba kwa sababu wote ni wapumbavu in same category.

Me mama kiba simjui
 
Nimejikuta nanchukia huyu mama sijui kwa nini? Hata kama sio mtoto wa mzee abdul ila alimlea jamani.hii ni zawadi tosha. Ilibidi anyamaze.

Ila na litoto ni lijinga mm ningeingilia kati. Kuthamini mchango wa mzee abdul. Pole sana mzee abdul. Dunia itawafunza.
Shida kubwa hii familia ni kama ina laana kabisa yani hapo walipo ni kwamba mke wa ricardo alitembea na mume wa Esma na watu wanasema Esma alikuwa anajiuza kule tandika na hata Ricardo alishatembea na Esma na sitoshangaa kusikia kuwa Diamond alishawai tembea na Esma maana hata Diamond ameshamla sana mke wa Ricardo................ hii familia ni ya kulana a.k.a mlalano bila kujali ni nani....huyu mzee asingevumilia kuona mama na mtoto wanajiuza na huku dada yao ana wakingia kifua......
 
Ukiacha Diamond ni msanii gani mwingine ambaye mama yake anajurikana?

Mama yake Mo Dewji unamjuwa? Mama yake Bakhressa unamjuwa?

Wanaojurikani huyu mama mpumbavu na mama yake Kanumba kwa sababu wote ni wapumbavu in same category.

Uko right hawajulikani, ila ndio wewe huyo mwenye ID nyingine???????????????, mimi Naona kuna viwango, huwezi kumfananisha Diamond na familia yake,, this is entertainment industry, media inawajenga,kwa status aliyopo Mond kwenye career yake hawezi kuikwepa media labda astaafu music ndio atapumzika, huyo bakhresa na Mo je wanategemea media kufanya wale mkate wao wa kila siku??? The answer is NO, kwangu mimi Naona unafananisha tui la nazi na maziwa
 
Yaani imeniuma sana. Natamani angekuwa baba yangu nikamuita baba nikamliwaza nikampikia akafurahi kuwa na bint kama mm.
Muda utaongea lakini huyu baba kama hatopata watu wakumshauri vizuri ataumwa kwa sababu ya msongo..........maana najua apati usingizi kabisa kwa jinsi alivyo dhalilishwa aiseee
Unajua kuna wanawake walikuwa malaya sana lakini walipofikwa na uzee walibadilika lakini ni tofauti sana kwa huyu mama Diamond,
 
Shida kubwa hii familia ni kama ina laana kabisa yani hapo walipo ni kwamba mke wa ricardo alitembea na mume wa Esma na watu wanasema Esma alikuwa anajiuza kule tandika na hata Ricardo alishatembea na Esma na sitoshangaa kusikia kuwa Diamond alishawai tembea na Esma maana hata Diamond ameshamla sana mke wa Ricardo................ hii familia ni ya kulana a.k.a mlalano bila kujali ni nani....huyu mzee asingevumilia kuona mama na mtoto wanajiuza na huku dada yao ana wakingia kifua......
Makubwa!
 
Kuna wanawake ni hovyo hovyo kabisa. Well, wapo wanaume ni hovyo pia lakini ninachoona hapa ni "Keeping up with the Diamonds"! Trending throughout on social platforms n' earning more cheddar!

Ningekuwa katika nafasi ya Naseeb nisingekubali huu upuuzi(japo kwake ku trend mitandaoni ndio priority)
 
Muda utaongea lakini huyu baba kama hatopata watu wakumshauri vizuri ataumwa kwa sababu ya msongo..........maana najua apati usingizi kabisa kwa jinsi alivyo dhalilishwa aiseee
Unajua kuna wanawake walikuwa malaya sana lakini walipofikwa na uzee walibadilika lakini ni tofauti sana kwa huyu mama Diamond,

Hata mimi namuonea huruma sana mwisho ataanza ku doubt Hata hao watoto wengine km ni wa kwake, very sad,,,, mimi kinachonishangaza KWA NINI WAMELIIBUA SASA HIVI NA WAKATI LILIKUA LINAJULIKANA KITAMBO??!? Kilichowafanya lililokua Siri walitoe?
 
Back
Top Bottom