Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Wewe hapo tulia ,sisi hapa Tanzania atuendi kama manyumbu,tunauwongozi na unatujali sana,na ndio tuna baraza la sanaa,mbona mlipiga makelele yale ya gigi na mpaka kufungiwa kwa tv ya wasafi ambayo sasa kimenuka inaonekana ya wachafu.

Sio kwamba mnione nipo upande mzima,mimi kama Mtanzania ninae ujali sana uongozi uliopo madarakani na kwamba hili gumzo lipo kinchi zaidi,na linawadhalilisha wanawake,akiwemo huyo mwanamke aliebwatuka bila ya kuona mbali.

Hili jambo kama tunanchi ambayo inawajali wananchi wake basi hapa ni bora ikayasimamisha haya,mwisho wa siku yatakuja kuwakumba hata nyinyi mnaojiona mpo mbali na usdhia huu.

Hapa kama ndio mnajulikana au mnavyojiita great thinkers ,nafikiri hamtashindwa kutoa muongozo katika jamii,bila ya kumdhalilisha mtu,wemgime naona mnakuja na kutoa meno kama ngiri,mnashindwa kutumia busara.
Ili kuongoza jamii inayoiangalia Jamiiforums kama kioo cha Taifa.
 
Sauti na muonekano wa Diamond vinafanana kabisa na mzee Abdul.

Ningekuwa mimi ndo Diamond ningeenda kujipima DNA nijue ukweli nasimamia wapi, nisingemsikiliza bi Sandra maana anaonekana alikuwa kicheche!

Halafu huyo Diamond ni mtoto wa kiume kashaumiza au kuumizwa na wanawake mara ngapi, kwa nini asivae viatu vya mzee Abdul ili ajue ishu za wanawake zikoje? - Yeye kalishwa sumu na mama yake anaipokea kama zezeta!. Hopeless kabisa

Huyo Diamond kazaliwa kwenye nyumba ya mzee Abdul, kalishwa chakula, kavalishwa mpaka anaingia form one halafu leo hii linakosa fadhila kwa huyo mzee!

Mzee Abdul anasema aliamua kusepa kuachana na nama yake Mondi kwa sababu huyo mama alikuwa anamcheat bila hofu, anasema wakati mwingine huyo mama alikuwa anamuacha Diamond (wakati huo kakiwa katoto) ndani na mzee Abdul yeye anakwenda nje kuutembeza!.

Kwa hiyo huyo mama ni snitch msanii, vyeti vyote vya clinic kaandika jina la baba la mtoto kuwa ni mzee Abdul, halafu baadae kwa sababu ya mali, fedha na roho mbaya, pengine gubu la mapenzi baada ya mzee Abdul kumpiga chini sababu ya ushenzi wake akaamua naye kumuumiza mzee Abdul kwa kumnyang'anya mtoto.

Ni ulimbukeni tu na tabia za kimalayamalaya, za huyo mwanamke. Hana maana kabisa!
 
Ninamuonea huruma Diamond, hii issue itakua inamsumbuawkisaikolojia. Fikiria Star mkubwa kama yule tunaambiwa alipatikana baada ya mpira kupasuka. Fikiria watu wa level yake duniani watakua wameipokea vipi hii taarifa.
It's sad kweli. Ila na yeye kiazi tu kazidi kua mamas boy ndio maana mama yake anampelekesha jinsi anayotaka. If he was smart angetoa tamko tu "Namjua baba yangu ni Mzee Abdul tu hao wengine siwafahamu" simple as that na angekua hero of this saga.
 
Ninamuonea huruma Diamond, hii issue itakua inamsumbuawkisaikolojia. Fikiria Star mkubwa kama yule tunaambiwa alipatikana baada ya mpira kupasuka. Fikiria watu wa level yake duniani watakua wameipokea vipi hii taarifa.
Sky Eclat huyu mzee Abdul ni wa hovyo sana. Angekua baba mwenye upendo kwa damu yake asingeongea haya maujinga yake.

Kwa hii kauli ni wazi kabisa hana upendo, hana uchungu wala haioni thamani ya huyu kijana. Zaidi alikua anatumia jina NASIBU ABDUL JUMAA kama fimbo kwa Nasib na mamake ili apate pesa huku akijua wazi mambo alishayatindinganya zamaniiiiii

Angekua mtoto wake kama anavyodai
1.asingekua kwenye medias kila siku kumuabisha; wala
2.Asingesema a stop kutumia jina lake
Wanaume wenye watoto wao wa damu wanamshanga huyu mzee na kumwona asivyojielewa

Mama Nasib ana mapungufu yake ila kwa Abdul alikosea sana kumhifadhi nyumbani kwao na hata kumsitiri kwa miaka yote ambayo mwanae amekua star. Bora angemaliza hili jambo mapema kabisa

Ila hili nalo litapita na mama Nasib ataendelea kuwa mama shujaa kwa mwanae
 
Kwa kweli imenisikitisha msanii ambae amekuwa mstari wa mbele katika kukuza wasanii na kulitangaza jina, leo hii amefunikwa na kadhia chafu sana, inayomuweka katika kundi la watoto chokoraa, na zaidi kama wanatafuta kiki basi mpira umepasuka.

Kwanini wakuu wa nchi hawaingilii kati na kulizima? Sasa ni aibu ilioje mitandaoni ni aibu kwa Watanzania na siasa zetu za mwendo kasi, utamaduni gani huu?
Wakuu wa nchi wana majukumu makubwa kitaifa.
Yaani waache kazi za kuhudumia wananchi waje wahangaike na familia ya diamond? Are you serious ?

Msala wao wenyewe waumalize wao. Wakivuragana haya. Wakipatana haya. Ilimradi hawavunji sheria za nchi. Mengine ni issue binafsi.
 
Hatari na nusu....waacheni na mambo yao
 
Jambo hili halihitaji wasomi kulitatua ni jambo lililokaa kikawaida kabisa kulitatua kupitia wazee na watu wengine ambao sio wasomi.
Muhimu : Familia/Wazee/viongozi wa dini zote mbili wakutane kuliweka sawa, otherwise kuna hakiko sawa kwenye familia /koo zao.
 
Back
Top Bottom