Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mimi nilichogundua kwa uchunguzi wangu mdogo wanawake wa zamani wengi walitumika kabla ya ndoa maana wameolewa na wengine wamelea watoto kwa baba walezi na wazee wa zamani wanatoto wa nje waliowaacha walelewe kwenye familia tofauti na wao wakajikausha, huyo mama Daimond namsifu sana Kama aliyosema ni kweli ameweka wazi wanawake wa zamani walivyokuwa baada ya mabibi zetu walioolewa watoto wadogo bikira, hivyo kizazi cha Sasa ndo kizazi Bora maana mabinti wanafatiliwa sana hakuna kucheza vichakani Wala visimani kubembeshwa mimba.
Sorry upo tz kweli,kizazi cha sasa unapata guts kukisifia kweli,daaamn
Possible upo ka mji flani kazuri kenye maadili
 
Huyu tayari washamkataa na amesema hili kwake limeisha na amekubali kwakuwa aliyebeba mimba ameongea.

Ila huyu mzee kwa jinsi anavyopenda kamera kuna uwezekano mwezi mzima huu akawa anahojiwa na YouTube channels mbalimbali,ambazo hazi msaidii zaidi ya kumchoresha.

Yeye cha msingi akomae yeye kama yeye kutafuta hela kwa ajili ya watoto wake aliowapata uzeeni na awatunze,asimwongelee kabisa Diamond wala mama yake afanye mambo yake.

Ila cha ajabu sito shangaaa akiliongelea hii mwaka mzima kwenye makamera,alafu ninavyo muona anonekana ni muoga wa maisha sio fighter kwani hana uzee wa kumzuia kutafuta hela.
Weka akiba wa maneno mkuu, ipo day utazeeka
 
Karma huwa haipotezi Adress yake haya anayoyofanya diamond nae atafanyiwa tu miongoni mwa wanawake aliozaa nao yupo ataka sema tu mtoto sio wake
 
Serikali na wakuu wa nchi hawawezi kuingilia swala hili. Hili swala ni Personal au family issue. Kinachotakiwa hapa ni mambo mawili ya kufanya; jambo la kwanza ni Mzee Abdul na Nasib (Diamond Platinumz) wakae pamoja na wakubaliane kufanya utafiti wa kisayansi kuhusu vinasaba vyao na majibu yawekwe hadharani ili kila mmoja wetu katika jamaii na ulimwengu tutambue.

Jigine la kufanya kama hilo haliwezekani, ni sisi wana jamii kumchangia baba Nasib hela ili amtafute mwanasheria ambaye atamsaidia kupeleka hii issue mahakamani ili mahakama imtake au kumlazimisha Nasibu kutoa vinasaba vyake na vile vya Mzee Abdul kwenda kupimwa ili ijulikane kama Mzee Abdul kweli ni baba wa Nasibu au la sio au Mama Dangote atuthibitishie kitaalam matokeo ya kauli yake inayodai kuwa Nasib Mzee Abdul sio baba yake mzazi, vinginevyo sisi hatuna mamlaka ya kuchukua maamuzi yoyote yatakayo saidia kuleta ufumbuzi wa sibzofahamu hii.

Kama matokeo ya uchunguzi wa vinasaba wa Nasib na Mzee Abdul yataonyesha kuwa Nasib sio mtoto wa Mzee Abdul, basi mahakama itatoa hukumu ya kuthibitisha kuwa Nasib Mzee Abdul sio mtoto wake. Na hapo vitatafutwa vinasaba vya Nasib kisayansi.

Physical appearances za Nasib na Mzee Abdul inaokena kama vile Mzee Abdul ameji Clon mwenyewe, lakini kwa vile sisi binadam hatuna uwezo wa kujua nguvu za Mungu au Nature basi sayansi ya vinasaba (DNA) ndiyo mkombozi wetu wa utatatuzi wa mambo kama haya.

Ila naomba niwaambie kitu kimoja watanzania wenzangu, kama itafahamika kuwa Nasib na Mzee Abdul ni mtoto na baba na Nasib, kwa jina la kisanii Diamond Platinums, akaendelea kumkana Mzee Abdul kuwa sio baba yake na hivyo kutomtolea mchango wa maisha, basi ieleweke kuwa umaarufu wa Diamond Platinumms ni wa kimashetani, kutakuwa kuna majini yana mbeba Diamond Platinumz na masharti aliyopewa ni kuto mtambua Mzee Abdul kama baba yake na ndiyo sabau inayomfanya yeye kutokumtolea mchango wowote ule wa kimaisha, kwani Diamond Ülatnamms na Mama yake wanahofia akifanya hivyo, umaarufu alio nao na utajiri alioupata utapotea.

Nakumbuka kule kwetu Kinondoni kulikuwa na watu wenye utajiri kama huu wa kishetani, mmoja wao ambaye alikuwa maarufu sana enzi hizo ni Mwanamboka. Sasa hivi Mwanamboka imebakia historia.

Hivi ndivyo itakavyo mtokea Diamond Platinumz kama ata kiuka masharti aliyo pewa. Sioni sababu yoyote ile ya yeye kuwasaidia watu wengine na ambao hawana hata shida kubwa ya kimaisha na kumwacha baba yake akiteseka, sio tu kimaisha bali hata kimoyo na roho. Inaonekana dhahiri kuwa Mzee Adul hana amani na mambo haya anayotendewa. Anasononeka sana.
 
Kimaandishi 1982 ni mwaka ambao Ukimwi ndo unaingia Tanzania au sio?
Na ndom zikaja miaka hiyo hiyo? Sawa kwa ufafanuzi.
Ukimwi umekuepo Sana Uganda na umewasumbua Sana kabla ata ya 1982 ulipoingia Tanzania.
 
Basically kuna wanawake washenzi mama Dangote akiwa mmoja wapo.

Mwanamke makini akishampa mtu mimba ndio yake maisha labda aje mtu mwingine kumdai huyo mtoto.

Kitendo cha mama Dangote kuja hadharani na kumpa mtoto marehemu mtoto wakati kuna mtu alielea hiyo mimba ni cha kipumbavu m mno huyu mwanamke ni mshenzi wa tabia kupitiliza.

Mama hamtaki yule jamaa anaona yeye bado anahitaji vijana wamshughulikie hivyo anatafuta kila aina ya justification kumuacha yule mzee, sasa anafanya mambo mengine yako nje sana na agenda yake mpaka anavuruga ustaarabu kwa tamaa zake za ngono na starehe. Kiukweli mi ameniudhi sana sijui Diamond anawezaje kuvumilia mambo ya mama yake, ningekuwa mimi ningeshamwambia mama punguza speed ya matendo yako hata kama ni mama yangu ningetafuta mtu mzima amwambie kiutu uzima
 
Huyo diamond ni punda nina ushaidi hacha kutetea ujinga , labda kama ameacha jana , na kwa taarifa yako anabeba na kutumia hizo drugs

Amewabebea sana kinje na washkaji wa kinje na Khalil

unless wewe ni diamond mwenyewe unajitetea , au umekuja mjini juzi

nasema achunguzwe, Msizwa to a file Yao wao wamekuchafua
Povu la nini?! Nimepinga suala la kuuza drugs au nimehoji kwanini kila anayefanikiwa Wabongo lazima mumuhusishe na drugs?! Nikaorodhesha hadi hustles zake ambazo mtu yeyote yule lazima zitampa pesa ya kutosha; sasa kwanini muamini yupo pale kwa ajili ya kuuza mihadarati na sio kwa sababu ya hustle ambazo zipo wazi?! Hivi leo hii hata kama angekuwa anaenda SA, Europe, USA or elsewhere mara 1000 kwa mwaka halafu msione mafanikio yake yoyote, unadhani ungemhusisha na drugs au mnafanya hivyo kwavile tu mnaona mafanikio yake?!

Na kwa upande mwingine, ni kwamba niache ujinga au ni wewe ndie uache wivu wa kujinga?! Nimekuuliza kama anasaidiwa na Makonda, huko kwenye airports za nchi za nje huyo Makonda ana influence gani ya kumwezesha Diamond kupitisha sembe?! Jibu hilo swali!! Na kwavile umeshasema kwamba una ushahidi, kwanini basi usipeleke huo ushahidi badala ya kuhangaika kwamba eti achunguzwe?!
 
Ukisoma kitabu cha Bill Clinton "My Life", Bill Clinton kaandika kwamba baba yake mzazi aliitwa Blythe.

Hilo jina la Clinton alichukua jina la baba mlezi.

Si ajabu mtoto kuchukua jina la baba mlezi.
Nadhani jina sio issue... niliiona pia kwa TUPAC

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Sisi watu wa Karma tunaamini kuna siku hawa watoto anaozaa Diamond ovyo atakuja kuambiwa sio wa kwake
 
Mambo ya familia hasa za Kiafrica ambazo huwa ni familia kubwa ni pasua kichwa sana, mambo mengine ya kifamilia ni bora tu kunyamaza ili kuendelea kuilinda heshima yenu kwa jamii.
 
Huyo mama ni wale wasichana wahuni wa mbowe club zamani.

Juzi ametupia picha akiwa na mimba ya miezi 9 lakini yupo mbowe club..anaruka majoka.

Yaani ni ajabu na kweli.

Huyo Mzee Abdul alionekana katelekeza family,

Kumbe alikimbia kibomu cha machozi.

Hyo mama hakuwa mwanamke wa kuishi na mwanaume yeyote yule, ndy maana hata hyo Asma baba yake pia hajulikani.

Screenshot_2021-01-19-07-28-50.jpeg
 
Hizi mambo hizi sioni hata umuhimu wa kuzijadili ni vile tu na Uafrika wetu, ila huyu mama D nahisi ndiye Sandra mwnyw huyu.
 
Pamoja na jamii kumchukulia namna gani Bi. Sandra naamini kaongea ukweli wake ambao daima utambakisha huru na ambao alitamani siku moja auseme, kwangu mimi ni mwanamke jasiri
 
Back
Top Bottom