mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Hapa mshindi Shamte.Lakini Sandra kiboko, wanaume watatu kila mmoja ametimiza jukumu lake, Nyange aliweka mbegu, Abdul akatunza mimba na sasa Shamte anakula matunda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa mshindi Shamte.Lakini Sandra kiboko, wanaume watatu kila mmoja ametimiza jukumu lake, Nyange aliweka mbegu, Abdul akatunza mimba na sasa Shamte anakula matunda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Family friend......till further notice
Sorry upo tz kweli,kizazi cha sasa unapata guts kukisifia kweli,daaamnMimi nilichogundua kwa uchunguzi wangu mdogo wanawake wa zamani wengi walitumika kabla ya ndoa maana wameolewa na wengine wamelea watoto kwa baba walezi na wazee wa zamani wanatoto wa nje waliowaacha walelewe kwenye familia tofauti na wao wakajikausha, huyo mama Daimond namsifu sana Kama aliyosema ni kweli ameweka wazi wanawake wa zamani walivyokuwa baada ya mabibi zetu walioolewa watoto wadogo bikira, hivyo kizazi cha Sasa ndo kizazi Bora maana mabinti wanafatiliwa sana hakuna kucheza vichakani Wala visimani kubembeshwa mimba.
Weka akiba wa maneno mkuu, ipo day utazeekaHuyu tayari washamkataa na amesema hili kwake limeisha na amekubali kwakuwa aliyebeba mimba ameongea.
Ila huyu mzee kwa jinsi anavyopenda kamera kuna uwezekano mwezi mzima huu akawa anahojiwa na YouTube channels mbalimbali,ambazo hazi msaidii zaidi ya kumchoresha.
Yeye cha msingi akomae yeye kama yeye kutafuta hela kwa ajili ya watoto wake aliowapata uzeeni na awatunze,asimwongelee kabisa Diamond wala mama yake afanye mambo yake.
Ila cha ajabu sito shangaaa akiliongelea hii mwaka mzima kwenye makamera,alafu ninavyo muona anonekana ni muoga wa maisha sio fighter kwani hana uzee wa kumzuia kutafuta hela.
Kwa hiyo wewe hutozeeka?Weka akiba wa maneno mkuu, ipo day utazeeka
Vijana mmekua hivi,okay sawaKwa hiyo wewe hutozeeka?
Kwa hiyo wewe utakuwa kijana,huzeeki?Vijana mmekua hivi,okay sawa
Unamaanisha mtoa mada naye anaroho mbaya sivyo? Au me ndo sijakuelewa?KUNA WATU WANA ROHO MBAYA SANA DUNIA HII
Ukimwi umekuepo Sana Uganda na umewasumbua Sana kabla ata ya 1982 ulipoingia Tanzania.Kimaandishi 1982 ni mwaka ambao Ukimwi ndo unaingia Tanzania au sio?
Na ndom zikaja miaka hiyo hiyo? Sawa kwa ufafanuzi.
Basically kuna wanawake washenzi mama Dangote akiwa mmoja wapo.
Mwanamke makini akishampa mtu mimba ndio yake maisha labda aje mtu mwingine kumdai huyo mtoto.
Kitendo cha mama Dangote kuja hadharani na kumpa mtoto marehemu mtoto wakati kuna mtu alielea hiyo mimba ni cha kipumbavu m mno huyu mwanamke ni mshenzi wa tabia kupitiliza.
Povu la nini?! Nimepinga suala la kuuza drugs au nimehoji kwanini kila anayefanikiwa Wabongo lazima mumuhusishe na drugs?! Nikaorodhesha hadi hustles zake ambazo mtu yeyote yule lazima zitampa pesa ya kutosha; sasa kwanini muamini yupo pale kwa ajili ya kuuza mihadarati na sio kwa sababu ya hustle ambazo zipo wazi?! Hivi leo hii hata kama angekuwa anaenda SA, Europe, USA or elsewhere mara 1000 kwa mwaka halafu msione mafanikio yake yoyote, unadhani ungemhusisha na drugs au mnafanya hivyo kwavile tu mnaona mafanikio yake?!Huyo diamond ni punda nina ushaidi hacha kutetea ujinga , labda kama ameacha jana , na kwa taarifa yako anabeba na kutumia hizo drugs
Amewabebea sana kinje na washkaji wa kinje na Khalil
unless wewe ni diamond mwenyewe unajitetea , au umekuja mjini juzi
nasema achunguzwe, Msizwa to a file Yao wao wamekuchafua
Nadhani jina sio issue... niliiona pia kwa TUPACUkisoma kitabu cha Bill Clinton "My Life", Bill Clinton kaandika kwamba baba yake mzazi aliitwa Blythe.
Hilo jina la Clinton alichukua jina la baba mlezi.
Si ajabu mtoto kuchukua jina la baba mlezi.