Mama Diamond utamshusha Diamond

aiseevwe ni mwehu
 
Anampa stress
Kuna picha nimeziona juzi kati jamaa amekonda sana!
Angekuwa bro wangu ningemshauri aombe msamaha kwa zari..... yule ndo alikuwa mwanamke sahihi kwake!

Ingawa najua Wewe Team ant-zari [emoji23] [emoji23]
 
Kuna picha nimeziona juzi kati jamaa amekonda sana!
Angekuwa bro wangu ningemshauri aombe msamaha kwa zari..... yule ndo alikuwa mwanamke sahihi kwake!

Ingawa najua Wewe Team ant-zari [emoji23] [emoji23]
Kakonda kwaajili ya mama yake
 

kabila la kigoma ulijui.ni wajuaji kwa kila jambo
 
Je ,Utanipenda.? (wimbo wa diamond)

lalaalaaalala laaalaa laaa... je utanipendagaa...
lalaalaaa laaalaaa au nawee utanimwaagaa...×2
 
Hyu mama ana gubu baya sana, mpaka zari kipindi kile alikimbia na kwenda south Africa.sababu ya hyo mambo .mama anaingia chumbani kwa mwanae kama hana mke kifupi yule mama ajui mipaka yake sawa mtoto kwa mama hakui lkn si kivile.
hahaa..mama bila haya anasema kuwa mkwewe hatandikagi kitanda ..means huwa anaingia chumbani kwa mwanae "" usikute huwa ana mpigiaga chabo akiwa anafanya matusi ili apate stimu vizuri zakwenda kungonoka na Ben 10 wake
 
[emoji23][emoji23] gubu la mama mkwe nilikuwa nalisikia ila sahivi nimeliona mama haliki yule si kwa mchuzi wala mkavu kote shida yeye
Mama sabrina sema sahivi kapata kiboko yake hamisa mswahili mwenzie full mapichapicha wengine alikuwa anawaonea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…