Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana bana hatupo hivyooo kabisa
Sio wote ila nyie wanawake mlio Wengi ni magold digger haswaaa!
Nashauri mama dangote ashikirie hapo hapo [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana bana hatupo hivyooo kabisa
Anampa stress[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio wote ila nyie wanawake mlio Wengi ni magold digger haswaaa!
Nashauri mama dangote ashikirie hapo hapo [emoji2]
aiseevwe ni mwehuHuyu mama sijui yupoje mwanae kampa fursa ya kua anazurura nae kwa upendo ,ye amechukulia advantage ya kumcontrol Diamond, mama mtu mzima unatoka kwako na bwana ako unahamia madale ili uishi tu na daimond ,unataka umpangie kila mwanamke anaetaka kuwa nae wanawake wa daimond wote wabaya jamani, si ulee ndoa yako au Shamte ana kibamia nini ndio maana hutulii eti oooh hamisaa hajui hata kutandika kitanda unaendaga chungulia hadi chumbani mwao,hajui kupika daimond levo alokuwa nayo wafanyakazi wote pale madale apikiwe na hamisa ,mama acha gubu wewe ndio utamshusha mwanao,nasikia daimond ameanza kuwa mlevi chakari utashangaa unampa stress hadi aanze tumia madawa ya kulevya,kama mtoto anampenda hamissa mwache apate furaha ,kama anamtaka zari mwache,usimpangie tushaona watoto wengi wanayumba kisa mama zao,mwache mtoto aoe amekua sasa furahia furaha yake ifurahia,furahia mwanao awe na furaha. Unakuwa mama huna adabu mbona ye kakuvumilia kuolewa na kijana rika lake tena pesa anakupa mwanao unahonga vibenten
Nimeshangaa sana kutoka kule unakoishi sijui Tabata kwenda na mmeo shamte,huyo shamte nahisi nae kaolewa tu si kwa kupelekeshwa huko mnapishana tu na
Yaan ningekuwa mimi ndio Hamissa ningeenda kukudumbukiza kwenye ile swimming pool au nigeangaza huku na kule hakuna mtu nikakunasa vibao vitatu vitakatifu na ukisema hakuna alieona huna adabu kabisa we mama
Aisee wenye mama wake wa hivi nawapa polee sana
Kuna picha nimeziona juzi kati jamaa amekonda sana!Anampa stress
Haahahhaah ,nakuja pmaiseevwe ni mwehu
Kakonda kwaajili ya mama yakeKuna picha nimeziona juzi kati jamaa amekonda sana!
Angekuwa bro wangu ningemshauri aombe msamaha kwa zari..... yule ndo alikuwa mwanamke sahihi kwake!
Ingawa najua Wewe Team ant-zari [emoji23] [emoji23]
Huyu mama sijui yupoje mwanae kampa fursa ya kua anazurura nae kwa upendo ,ye amechukulia advantage ya kumcontrol Diamond, mama mtu mzima unatoka kwako na bwana ako unahamia madale ili uishi tu na daimond ,unataka umpangie kila mwanamke anaetaka kuwa nae wanawake wa daimond wote wabaya jamani, si ulee ndoa yako au Shamte ana kibamia nini ndio maana hutulii eti oooh hamisaa hajui hata kutandika kitanda unaendaga chungulia hadi chumbani mwao,hajui kupika daimond levo alokuwa nayo wafanyakazi wote pale madale apikiwe na hamisa ,mama acha gubu wewe ndio utamshusha mwanao,nasikia daimond ameanza kuwa mlevi chakari utashangaa unampa stress hadi aanze tumia madawa ya kulevya,kama mtoto anampenda hamissa mwache apate furaha ,kama anamtaka zari mwache,usimpangie tushaona watoto wengi wanayumba kisa mama zao,mwache mtoto aoe amekua sasa furahia furaha yake ifurahia,furahia mwanao awe na furaha. Unakuwa mama huna adabu mbona ye kakuvumilia kuolewa na kijana rika lake tena pesa anakupa mwanao unahonga vibenten
Nimeshangaa sana kutoka kule unakoishi sijui Tabata kwenda na mmeo shamte,huyo shamte nahisi nae kaolewa tu si kwa kupelekeshwa huko mnapishana tu na
Yaan ningekuwa mimi ndio Hamissa ningeenda kukudumbukiza kwenye ile swimming pool au nigeangaza huku na kule hakuna mtu nikakunasa vibao vitatu vitakatifu na ukisema hakuna alieona huna adabu kabisa we mama
Aisee wenye mama wake wa hivi nawapa polee sana
Waha wana mambo sanakabila la kigoma ulijui.ni wajuaji kwa kila jambo
hahahahaa... wewe mzee wewe hahaa...Huku JF anatumia jina chaliifrancisco
hahaa..mama bila haya anasema kuwa mkwewe hatandikagi kitanda ..means huwa anaingia chumbani kwa mwanae "" usikute huwa ana mpigiaga chabo akiwa anafanya matusi ili apate stimu vizuri zakwenda kungonoka na Ben 10 wakeHyu mama ana gubu baya sana, mpaka zari kipindi kile alikimbia na kwenda south Africa.sababu ya hyo mambo .mama anaingia chumbani kwa mwanae kama hana mke kifupi yule mama ajui mipaka yake sawa mtoto kwa mama hakui lkn si kivile.
Anatumia id ya InnaHivi huyo mama yupo humu JF? Naomba kujua anatumia ID gani nina ujumbe wake