Mama Diamond utamshusha Diamond

Ifike mahala watanzania muwe na akili na mshirikishe bongo zenu...

Hawa wapumbavu wote wanacreate attention tu..

Wiki ijayo kuna wimbo diamond anaachia.. Acheni upumbavu.


Walitengeneza upumbavu huu huu..sijui Sarah wa Harmonize kachukuliwa na Bodyguard wa Diamond.. Kumbe upuuzi mtupu...anatafuta attention ya kujaza watu ktk show huko...

Tufike mahala upuuzi na utoto wa Insta ubaki hukohuko.

Kiki za kipumbavu.....
 
[emoji23] [emoji23] kawaida hata ulaya ipo!
 
You Sound hell as Whore Mobeto....aren't You?
 
Mama kakulia uswahili bado hajaacha uswahili
 
Kwani yy ndio anamtungia nyimbo au ana mfanyia back voko. Huna hoja pambana na hali yako tu
 
 
 
Nilijuaga ni mshua, kumbe anafanya kama ya kwetu kijijini. Kiben 10 hamkeep busy nini!!?
 
Uzuri mimi mama mkwe huwaga sina wametangulia mbele za haki halaf wana adabu sio kama huyu
Ila mama daimond ningevizia dai hayupo nikamnasa vibao akisema kwa mwanae namuambia ananisingizia tu kwa vile hanipendi
Mama Sabrina unaweza kuwa sahihi upande flani au ukawa sio sahihi.
Naomba niende kwenye upande ambao unaweza usiwe sahihi, kwa ninvyo amini mm ni kuwa nyinyi wanawake mnajuana sana. Hakuna mzazi amabe hapendi mwanae apate shida, yule mama mpaka amesema hivi kuna vitu ambacho haviko sawa.
Nitoe mfano wangu mm kuna mwanamke nilimpenda nilivyo mpeleka nyumbani mama wangu akawa na hofu nae sana, na mm nikaforce mwaka haukuisha mambo haya kuwa mabo kabisa.
Nikaoa mwingine ambao amuelewa naishi nae vzr sana hana shida
 
Kuna picha nimeziona juzi kati jamaa amekonda sana!
Angekuwa bro wangu ningemshauri aombe msamaha kwa zari..... yule ndo alikuwa mwanamke sahihi kwake!

Ingawa najua Wewe Team ant-zari [emoji23] [emoji23]
Lazima akonde, kapigwa hela mzuri kisomi tu na Zari mameneja wamenawa inabidi wamshauri akae kimya tu.
Nilishasema hapa Zari alikua anasubiri right time akombe chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…