Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Atawakoma watu wa IG akitolewaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ahahahah vipodozi fake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atawakoma watu wa IG akitolewaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ahahahah vipodozi fake
[emoji23] [emoji23] kawaida hata ulaya ipo!Ifike mahala watanzania muwe na akili na mshirikishe bongo zenu...
Hawa wapumbavu wote wanacreate attention tu..
Wiki ijayo kuna wimbo diamond anaachia.. Acheni upumbavu.
Walitengeneza upumbavu huu huu..sijui Sarah wa Harmonize kachukuliwa na Bodyguard wa Diamond.. Kumbe upuuzi mtupu...anatafuta attention ya kujaza watu ktk show huko...
Tufike mahala upuuzi na utoto wa Insta ubaki hukohuko.
Kiki za kipumbavu.....
You Sound hell as Whore Mobeto....aren't You?Huyu mama sijui yupoje mwanae kampa fursa ya kua anazurura nae kwa upendo ,ye amechukulia advantage ya kumcontrol Diamond, mama mtu mzima unatoka kwako na bwana ako unahamia madale ili uishi tu na daimond ,unataka umpangie kila mwanamke anaetaka kuwa nae wanawake wa daimond wote wabaya jamani, si ulee ndoa yako au Shamte ana kibamia nini ndio maana hutulii eti oooh hamisaa hajui hata kutandika kitanda unaendaga chungulia hadi chumbani mwao,hajui kupika daimond levo alokuwa nayo wafanyakazi wote pale madale apikiwe na hamisa ,mama acha gubu wewe ndio utamshusha mwanao,nasikia daimond ameanza kuwa mlevi chakari utashangaa unampa stress hadi aanze tumia madawa ya kulevya,kama mtoto anampenda hamissa mwache apate furaha ,kama anamtaka zari mwache,usimpangie tushaona watoto wengi wanayumba kisa mama zao,mwache mtoto aoe amekua sasa furahia furaha yake ifurahia,furahia mwanao awe na furaha. Unakuwa mama huna adabu mbona ye kakuvumilia kuolewa na kijana rika lake tena pesa anakupa mwanao unahonga vibenten
Nimeshangaa sana kutoka kule unakoishi sijui Tabata kwenda na mmeo shamte,huyo shamte nahisi nae kaolewa tu si kwa kupelekeshwa huko mnapishana tu na
Yaan ningekuwa mimi ndio Hamissa ningeenda kukudumbukiza kwenye ile swimming pool au nigeangaza huku na kule hakuna mtu nikakunasa vibao vitatu vitakatifu na ukisema hakuna alieona huna adabu kabisa we mama
Aisee wenye mama wake wa hivi nawapa polee sana
Mnataka watoto wenu wawa te wenyewe ndo zenu so sadWanawake wengiii tukilea watoto wenyewe haswaa wa kiume tunakua wabinafs mnooo
Haswa akiwa wa kiume halafu ana pesa yaani labda huyo mama nae awe nazo ila akiwa masikini ndo dogo anajiwezaa Utajuta mkeMnataka watoto wenu wawa te wenyewe ndo zenu so sad
[emoji15] [emoji15] [emoji15] not fair!!!!You Sound hell as Whore Mobeto....aren't You?
Basi stress ni kitu kibaya sana....
Huyu mama sijui yupoje mwanae kampa fursa ya kua anazurura nae kwa upendo ,ye amechukulia advantage ya kumcontrol Diamond, mama mtu mzima unatoka kwako na bwana ako unahamia madale ili uishi tu na daimond ,unataka umpangie kila mwanamke anaetaka kuwa nae wanawake wa daimond wote wabaya jamani, si ulee ndoa yako au Shamte ana kibamia nini ndio maana hutulii eti oooh hamisaa hajui hata kutandika kitanda unaendaga chungulia hadi chumbani mwao,hajui kupika daimond levo alokuwa nayo wafanyakazi wote pale madale apikiwe na hamisa ,mama acha gubu wewe ndio utamshusha mwanao,nasikia daimond ameanza kuwa mlevi chakari utashangaa unampa stress hadi aanze tumia madawa ya kulevya,kama mtoto anampenda hamissa mwache apate furaha ,kama anamtaka zari mwache,usimpangie tushaona watoto wengi wanayumba kisa mama zao,mwache mtoto aoe amekua sasa furahia furaha yake ifurahia,furahia mwanao awe na furaha. Unakuwa mama huna adabu mbona ye kakuvumilia kuolewa na kijana rika lake tena pesa anakupa mwanao unahonga vibenten
Nimeshangaa sana kutoka kule unakoishi sijui Tabata kwenda na mmeo shamte,huyo shamte nahisi nae kaolewa tu si kwa kupelekeshwa huko mnapishana tu na
Yaan ningekuwa mimi ndio Hamissa ningeenda kukudumbukiza kwenye ile swimming pool au nigeangaza huku na kule hakuna mtu nikakunasa vibao vitatu vitakatifu na ukisema hakuna alieona huna adabu kabisa we mama
Aisee wenye mama wake wa hivi nawapa polee sana
Huyu mama sijui yupoje mwanae kampa fursa ya kua anazurura nae kwa upendo ,ye amechukulia advantage ya kumcontrol Diamond, mama mtu mzima unatoka kwako na bwana ako unahamia madale ili uishi tu na daimond ,unataka umpangie kila mwanamke anaetaka kuwa nae wanawake wa daimond wote wabaya jamani, si ulee ndoa yako au Shamte ana kibamia nini ndio maana hutulii eti oooh hamisaa hajui hata kutandika kitanda unaendaga chungulia hadi chumbani mwao,hajui kupika daimond levo alokuwa nayo wafanyakazi wote pale madale apikiwe na hamisa ,mama acha gubu wewe ndio utamshusha mwanao,nasikia daimond ameanza kuwa mlevi chakari utashangaa unampa stress hadi aanze tumia madawa ya kulevya,kama mtoto anampenda hamissa mwache apate furaha ,kama anamtaka zari mwache,usimpangie tushaona watoto wengi wanayumba kisa mama zao,mwache mtoto aoe amekua sasa furahia furaha yake ifurahia,furahia mwanao awe na furaha. Unakuwa mama huna adabu mbona ye kakuvumilia kuolewa na kijana rika lake tena pesa anakupa mwanao unahonga vibenten
Nimeshangaa sana kutoka kule unakoishi sijui Tabata kwenda na mmeo shamte,huyo shamte nahisi nae kaolewa tu si kwa kupelekeshwa huko mnapishana tu na
Yaan ningekuwa mimi ndio Hamissa ningeenda kukudumbukiza kwenye ile swimming pool au nigeangaza huku na kule hakuna mtu nikakunasa vibao vitatu vitakatifu na ukisema hakuna alieona huna adabu kabisa we mama
Aisee wenye mama wake wa hivi nawapa polee sana
Hee halafu mbona vipodozi vyake bei ni ya juu mnoAhahahah vipodozi fake
Mama Sabrina unaweza kuwa sahihi upande flani au ukawa sio sahihi.Uzuri mimi mama mkwe huwaga sina wametangulia mbele za haki halaf wana adabu sio kama huyu
Ila mama daimond ningevizia dai hayupo nikamnasa vibao akisema kwa mwanae namuambia ananisingizia tu kwa vile hanipendi
Lazima akonde, kapigwa hela mzuri kisomi tu na Zari mameneja wamenawa inabidi wamshauri akae kimya tu.Kuna picha nimeziona juzi kati jamaa amekonda sana!
Angekuwa bro wangu ningemshauri aombe msamaha kwa zari..... yule ndo alikuwa mwanamke sahihi kwake!
Ingawa najua Wewe Team ant-zari [emoji23] [emoji23]
Wee acha tu anauza gharama balaa!Hee halafu mbona vipodozi vyake bei ni ya juu mno
i'm withdrawing my words....take it easy babe![emoji15] [emoji15] [emoji15] not fair!!!!
Mama Sabrina kapigwa ban? Why?Wee acha tu anauza gharama balaa!
Hata sijui mi pia nimeshangaa ukute kashatukana mtu huko[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mama Sabrina kapigwa ban? Why?