Mama Dorothy Gwajima suala la ushoga hulioni? Mbona linazidi kushika kasi? Umenyamazishwa?

Hivi kwani mashoga wakiwa wanafanya ya kwao, wengine ambao siyo mashoga huwa wanaathirika vipi na vitendo vya mashoga?

Mfano: Mashoga wapo Nyumba A wanafanya ya kwao, watu wengine waliopo Nyumba B ambayo ipo zaidi ya kilomita 1,000 kutoka Nyumba A wanaathirika vipi?
 
Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako.

Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu. Nafahamu ni jambo pana, ila walau upande wako ungekuwa unalishughulikia, ingesaidia sana. Vyombo vyote husika vya serikali including wizara yako, wote mko kimya mambo yanazidi kuharibika.

Jamani hii serikali ya Samia hamuoni movements mitandaoni za ushoga zinavyozidi kutamalaki? Angalieni hasa mtandao wa TikTok. Mashoga huko wako hadharani wanajielezea kila kitu. Wanaelezea hadi wanavyofanya mapenzi. Wanavaa kike wala hawabughudhiwi hata kutishwa tu. Bado kuna vi-online TVs kibao wanahoji mashoga, content creators nao wanapush contents za ushoga!! Kwenye taarabu na vibao kata, mambo ni mashoga tu.Umtag

Jamani mbona hamtendei haki uongozi wenu? Hivi hata mnawaza uwajibikaji wenu mbele za Mungu? Au kuna order kutoka juu mkae kimya jamani? Tanzania inazidi kuharibika kwa ushoga. Inasikitisha sana sana kuona huu uRais wa Samia unafumbia macho suala la maadili, kama si one of the focus areas za serikali kabisa. Bila serikali kuwa na ukali, jamii haiwezi kitu kwenye hili suala.

Inaudhi sana. Haya endeleeni kukaa kimya, kesho mtakuwa na cha kujibu.

Jimama.
Umtag @dgwajima
Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako.

Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu. Nafahamu ni jambo pana, ila walau upande wako ungekuwa unalishughulikia, ingesaidia sana. Vyombo vyote husika vya serikali including wizara yako, wote mko kimya mambo yanazidi kuharibika.

Jamani hii serikali ya Samia hamuoni movements mitandaoni za ushoga zinavyozidi kutamalaki? Angalieni hasa mtandao wa TikTok. Mashoga huko wako hadharani wanajielezea kila kitu. Wanaelezea hadi wanavyofanya mapenzi. Wanavaa kike wala hawabughudhiwi hata kutishwa tu. Bado kuna vi-online TVs kibao wanahoji mashoga, content creators nao wanapush contents za ushoga!! Kwenye taarabu na vibao kata, mambo ni mashoga tu.

Umtag kabisa, akaunti yake hii hapa Dkt. Gwajima D
 
Jisikie aibu
Kuna hii article kwa ajili ya wale wanaotumia DINI kupinga ushoga: Why the Bible Does Not Condemn Homosexuality or Being Transgender

******
For centuries, people have been taught that the Bible outright condemns homosexuality or gender diversity. However, modern biblical scholarship, historical context, and translation studies reveal that the verses most often cited are misunderstood, mistranslated, or pulled out of context.

1. The Word “Homosexual” Was Never in the Bible Until 1946

The first time the English word homosexual appeared in any Bible translation was in the 1946 Revised Standard Version (RSV). Before that, the verses now translated as “homosexual” used different words that referred to specific acts (often linked to exploitation or abuse) rather than loving, consensual relationships between adults.

2. The Old Testament Context (Leviticus 18:22 & 20:13)
  • These verses are part of the Holiness Code, written for the ancient Israelites to set them apart from neighboring nations.
  • Many of these laws are no longer followed by Christians (e.g., wearing mixed fabrics, eating shellfish, planting two kinds of seed together).
  • The Hebrew phrase “toevah” (often translated “abomination”) actually means “ritually unclean,” not morally evil.
  • Scholars note that these verses likely addressed male temple prostitution in Canaanite fertility rituals, not loving same-gender relationships.
3. Sodom and Gomorrah (Genesis 19)
  • Often cited as a condemnation of homosexuality, but the text itself says the sin of Sodom was violence, arrogance, and lack of hospitality, not consensual same-sex love (Ezekiel 16:49 explicitly states this).
  • The attempted sexual violence in the story is about power, humiliation, and dominance — similar to other ancient war crimes — not orientation or identity.
4. The New Testament “Clobber Passages”

Romans 1:26–27

  • Paul’s words refer to idol worship in the Roman world, where both men and women engaged in sexual acts as part of pagan rituals.
  • The phrase “against nature” (para physin in Greek) was used in ancient literature to describe actions outside one’s own usual behavior — in this context, likely referring to heterosexual people engaging in same-sex acts in idol worship, not a universal statement on orientation.
1 Corinthians 6:9 & 1 Timothy 1:10
  • The Greek words arsenokoitai and malakoi are notoriously difficult to translate.
  • Malakoi literally means “soft” and was often used to refer to laziness or moral weakness, not sexuality.
  • Arsenokoitai is rare and likely refers to exploitative relationships (such as sexual slavery or abuse), not mutual love.
5. The Bible and Transgender Identity
  • The Bible does not explicitly address transgender people.
  • Verses like Deuteronomy 22:5 (“A woman shall not wear a man’s garment…”) are part of ancient Israelite purity laws tied to cultural dress codes, not modern understandings of gender identity.
  • Ancient cultures recognized gender-diverse people — eunuchs, for example, are mentioned positively in Isaiah 56:4–5 and included in the early church in Acts 8.
  • Jesus Himself speaks of eunuchs in Matthew 19:12 without condemnation, acknowledging that some are “born that way.”
6. The Core Message of Scripture

When you step back, the Bible’s central themes are love, justice, and inclusion. Jesus never spoke a word against same-sex relationships or gender diversity. Instead, He broke social boundaries to include those considered “unclean” or “outsiders.”

“By this everyone will know that you are my disciples, if you love one another.” — John 13:35

✅ Summary: The so-called “anti-gay” and “anti-trans” verses are about ancient cultural practices — idolatry, exploitation, or ritual purity — not committed, loving LGBTQ+ relationships or gender identity. When understood in their historical and linguistic context, the Bible does not condemn LGBTQ+ people.

******
Jisikie aibu hata kama wewe ni shoga, siyo kwa nguvu hizi ulizotumia kuhalalisha biashara yako.

Mwanzo 18:20-19:29. Ndipo Bwana akasema, Kilio juu ya Sodoma na Gomora ni kikubwa sana, na dhambi yao ni nzito sana 21 hata nitashuka na kuona kama walichofanya ni kibaya kama kilio kilichonifikia; kama sivyo, nitajua

Mwanzo 19:24-25
24 Ndipo Bwana akanyesha juu ya Sodoma na juu ya Gomora kiberiti na moto toka mbinguni kwa Bwana.

25 Akaangusha miji hiyo na Bonde lote, na wote waliokaa katika miji hiyo, na yote yaliyomea katika nchi ile.
 
Serekali inaweza kuweka Sheria Kali.
Ila ukweli ni kwamba maadili hakuna kuanzia kwa wazazi.
Mama yuko bize ratiba shida za mtoto zote anajua dada wa kazi.
Misingi ikianzia nyumbani mpaka shule kwa udhibiti wa kuangalia marafiki, vipindi vya television tunaweza kuokoa hiki kizazi.
Aise

Ova
 
peleka usenge huko
 
Huyu alitakaga kupanga nyumba ya mzee mmoja namjuwa hapo sinza
Kumuona tu yule mwenye nyumba akachomoa dili 😄
Na mzee wangu yule alivyokuwa mtata madalali
Waliona mziki wake

Ova
Hawa ndio wazee tunaowataka hapa mjini! Sio hawa wapuuzi na wasanii wengine ujinga mtupu! Alimkomesha!!
 
Jisikie aibu

Jisikie aibu hata kama wewe ni shoga, siyo kwa nguvu hizi ulizotumia kuhalalisha biashara yako.

Mwanzo 18:20-19:29. Ndipo Bwana akasema, Kilio juu ya Sodoma na Gomora ni kikubwa sana, na dhambi yao ni nzito sana 21 hata nitashuka na kuona kama walichofanya ni kibaya kama kilio kilichonifikia; kama sivyo, nitajua

Mwanzo 19:24-25
24 Ndipo Bwana akanyesha juu ya Sodoma na juu ya Gomora kiberiti na moto toka mbinguni kwa Bwana.

25 Akaangusha miji hiyo na Bonde lote, na wote waliokaa katika miji hiyo, na yote yaliyomea katika nchi ile.
Mimi si SHOGA mkuu. Hayo maelezo niloweka ni maelezo kutoka kwa wanazuoni wa ukristo wa kale, sina shaka kwamba wewe sio mwanazuoni.

Mbona hicho kifungu ulichokinukuu hakina neno USHOGA, au USAGAJI?
 
Jielimishe mkuu
ungekuwa we umeelimika japo kwa biology ya form 1, ungekuwa unajua kazi ya mfundu nikutoa nnya basi.

Mi naamini ushoga ni matatizo ya akili, kwanza nashangaa kwanini nabishana na mtu mwenye mental disorder 🤮🗑
 
Hawakuona mauaji ya watoto ya Oct 29 waone suala la ushoga? Halafu suala la ushoga kwa sehemu kubwa ni malezi. Huwa nahisi mashoga wengi ni watoto waliolelewa na single mothers. Single mothers wengi hawajui kulea watoto wa kiume.
Only ignorant and backward minded people ndio wenye tabia ya kusingizia single mothers mambo ya kipuuzi kama uliyoandika , wengi humu wamelelewa na single mothers na wamekua vizuri sana na sasa wana familia zao nzuri na wana mchango mkubwa kwenye Taifa kuliko mapunguani kama nyie
 
Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako.

Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu. Nafahamu ni jambo pana, ila walau upande wako ungekuwa unalishughulikia, ingesaidia sana. Vyombo vyote husika vya serikali including wizara yako, wote mko kimya mambo yanazidi kuharibika.

Jamani hii serikali ya Samia hamuoni movements mitandaoni za ushoga zinavyozidi kutamalaki? Angalieni hasa mtandao wa TikTok. Mashoga huko wako hadharani wanajielezea kila kitu. Wanaelezea hadi wanavyofanya mapenzi. Wanavaa kike wala hawabughudhiwi hata kutishwa tu. Bado kuna vi-online TVs kibao wanahoji mashoga, content creators nao wanapush contents za ushoga!! Kwenye taarabu na vibao kata, mambo ni mashoga tu.

Jamani mbona hamtendei haki uongozi wenu? Hivi hata mnawaza uwajibikaji wenu mbele za Mungu? Au kuna order kutoka juu mkae kimya jamani? Tanzania inazidi kuharibika kwa ushoga. Inasikitisha sana sana kuona huu uRais wa Samia unafumbia macho suala la maadili, kama si one of the focus areas za serikali kabisa. Bila serikali kuwa na ukali, jamii haiwezi kitu kwenye hili suala.

Inaudhi sana. Haya endeleeni kukaa kimya, kesho mtakuwa na cha kujibu.

Jimama.
maoni yako yamepokelewa.

pole kukwazwa na jambo hilo la fedheha
 
Tayari Mh Waziri kachukua hatua jana hiyo hiyo

Screenshot_20260319_232521_Lite.jpg
 
Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako.

Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu. Nafahamu ni jambo pana, ila walau upande wako ungekuwa unalishughulikia, ingesaidia sana. Vyombo vyote husika vya serikali including wizara yako, wote mko kimya mambo yanazidi kuharibika.

Jamani hii serikali ya Samia hamuoni movements mitandaoni za ushoga zinavyozidi kutamalaki? Angalieni hasa mtandao wa TikTok. Mashoga huko wako hadharani wanajielezea kila kitu. Wanaelezea hadi wanavyofanya mapenzi. Wanavaa kike wala hawabughudhiwi hata kutishwa tu. Bado kuna vi-online TVs kibao wanahoji mashoga, content creators nao wanapush contents za ushoga!! Kwenye taarabu na vibao kata, mambo ni mashoga tu.

Jamani mbona hamtendei haki uongozi wenu? Hivi hata mnawaza uwajibikaji wenu mbele za Mungu? Au kuna order kutoka juu mkae kimya jamani? Tanzania inazidi kuharibika kwa ushoga. Inasikitisha sana sana kuona huu uRais wa Samia unafumbia macho suala la maadili, kama si one of the focus areas za serikali kabisa. Bila serikali kuwa na ukali, jamii haiwezi kitu kwenye hili suala.

Inaudhi sana. Haya endeleeni kukaa kimya, kesho mtakuwa na cha kujibu.

TATIZO HAPA SIO WAZIRI, TATIZO NI SISI WENYEWE.
ANZIA NYUMBANI KWAKO, ELIMISHA NDUGU NA WATU WALIOKUZUNGUKA ADHARI ZA USHOGA USISUBIRI WAZIRI.

LAKINI PIA, TATIZO NI WATU HASA WAAFRIKA KUINGIA KWENYE UTANDAWAZI WAKATI HAWAJAELIMIKA.
MTU AKISHAKUWA NA KISIMU AKAUNGA BANDO ANAFIKIRI KAZI YAKE NI KUFUNGUA KILA PAHALA....akiangalia picha za ushoga, ngono nk nk; BADALA YA KUSOMA VITU VYA KUMSAIDIA/KUMUELIMISHA. WAZIRI HAWEZI KUKUPANGIA CHA KUANGALIA!!!

Huku Afrika, hata choo cha shule kikibomoka watu wanasubiri waziri atoe tamko, Bomba la maji likipasuka mtaani watu wanasubiri waziri, watoto wanakalia mawe darasani watu wanasubiri waziri, barabara ya mtaa imeharibika watu wanasubiri waziri?, watu wanakunjwa maji machafu ya mto, wanasubiri waziri akawaambie wachemshe nk nk nk

HII NI ISHARA TOSHA KUWA WATU HAWATIMIZI WAJIBU WAO au NISEME, WENGI WAMESOMA ILA HAWAJAELIMIKA!!!
 
Back
Top Bottom