Mama Dorothy Gwajima suala la ushoga hulioni? Mbona linazidi kushika kasi? Umenyamazishwa?

Mama Dorothy Gwajima suala la ushoga hulioni? Mbona linazidi kushika kasi? Umenyamazishwa?

Huyu alitakaga kupanga nyumba ya mzee mmoja namjuwa hapo sinza
Kumuona tu yule mwenye nyumba akachomoa dili 😄
Na mzee wangu yule alivyokuwa mtata madalali
Waliona mziki wake

Ova
Kwanini sasa? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom