joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Waziri mtampa lawama bure tu,swala hili ni swala la jamii nzima kuanzia wazazi na jamii kukataa kuwajibika kwenye malezi na siku zote kwenye swala lolote la uwajibikaji ukizembea madhara yake makubwa sana. Dr Kweka ni mtaalamu wa maswala ya saikolojia na afya ya akili hapo MNH,walifanya uchunguzi wa sababu ya hili tatizo kwa kuchukua mapunga 140.Wakagundua asilimia themanini walianza kuharibiwa na watu wao wa ndani/karibu yaani ndugu/jamaa/jirani. So ukilitizama tu unajua siku hizi wazazi hawana mda na malezi kabisa,wao wanadeal na kutafuta hela tu na wengine malezi wanawaachia mabibi/mababu wakati wao washachoka, wengine hawajui wao ni nani kwa watoto wanao wazaa,mtu mmoja unazaa na wanawake kibao hana time na watoto wake,bado huku mabinti wanazaa hovyo hovyo na wanaume tofauti tofauti then anamwachia bibi yake alee. Kwa kifupi watoto wanajilea na siku hizi kuna upuuzi wa day care wenyewe wanaona usasa kumbe upuuzi. Japo Dr Kweka hakuizungumzia hiyo asilimia ishirini ,ila kwa story za kitaa,kuna wimbi kubwa la vijana wasio penda kula kwa jasho na wanaendekeza tamaa ndio huangukia hapo na wapo wengi na kuna story nyingi nimeshazisikia, asilimia ambao wanahiyo hormones imbalance ni ndogo sana na sizani kaa inazidi asilimia moja na hili tatizo ukilitizama linatibika kwa kumuongezea hormones na tiba za kisaikolojia.Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako.
Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu. Nafahamu ni jambo pana, ila walau upande wako ungekuwa unalishughulikia, ingesaidia sana. Vyombo vyote husika vya serikali including wizara yako, wote mko kimya mambo yanazidi kuharibika.
Jamani hii serikali ya Samia hamuoni movements mitandaoni za ushoga zinavyozidi kutamalaki? Angalieni hasa mtandao wa TikTok. Mashoga huko wako hadharani wanajielezea kila kitu. Wanaelezea hadi wanavyofanya mapenzi. Wanavaa kike wala hawabughudhiwi hata kutishwa tu. Bado kuna vi-online TVs kibao wanahoji mashoga, content creators nao wanapush contents za ushoga!! Kwenye taarabu na vibao kata, mambo ni mashoga tu.
Jamani mbona hamtendei haki uongozi wenu? Hivi hata mnawaza uwajibikaji wenu mbele za Mungu? Au kuna order kutoka juu mkae kimya jamani? Tanzania inazidi kuharibika kwa ushoga. Inasikitisha sana sana kuona huu uRais wa Samia unafumbia macho suala la maadili, kama si one of the focus areas za serikali kabisa. Bila serikali kuwa na ukali, jamii haiwezi kitu kwenye hili suala.
Inaudhi sana. Haya endeleeni kukaa kimya, kesho mtakuwa na cha kujibu.
Jimama.
Hiyo Gwajima mnamuonea anza wewe kwenye jamii yako pamoja na mtoto wako kutimiza wajibu wa malezi, kwani si Gwajima wala Mwalimu atakaye kulelea mwanao na mtoto wa kiume as long umeumbwa mwanaume basi kula kwa jasho, hakuepukiki na unatakiwa uwe mvumilivu kwenye utafutaji na kuacha tamaa. Narudia tena hamna kosa baya kama kutokuwajibika,haijalishi kwenye kitu so timiza wajibu wako.