Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Binafsi nina kiwango kikubwa cha kuweza kustahimili mambo. Hata kama litakuwa baya au kubwa kiasi gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah wangeshanipa mda, maana km makavu nilishawahi kuwapa wote sio mama wala baba na sio mara 1. Nafikiri washanizoeaa kuwa mie sio mnafikii.
Na mie nilishawaambia unafiki cna, jambo likinikaa hapa hata km ni nyie siwezi kukaa nalo linitafune ndani kwa ndani, wala nalimwagaa, cna kifua cha kuweka unafikii si uhaini wa nafsi huu. Wee kuwezaa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewahi kusikia kuna watu hawawezi kukaa na siri mbili, akipata siri mpya ile ya zamani lazima aitoe ile ya zamani
Nahisi wewe ni mmoja wao 😅😅