Mama hamtaki Mpenzi wangu

Mama hamtaki Mpenzi wangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah wangeshanipa mda, maana km makavu nilishawahi kuwapa wote sio mama wala baba na sio mara 1. Nafikiri washanizoeaa kuwa mie sio mnafikii.

Na mie nilishawaambia unafiki cna, jambo likinikaa hapa hata km ni nyie siwezi kukaa nalo linitafune ndani kwa ndani, wala nalimwagaa, cna kifua cha kuweka unafikii si uhaini wa nafsi huu. Wee kuwezaa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binafsi nina kiwango kikubwa cha kuweza kustahimili mambo. Hata kama litakuwa baya au kubwa kiasi gani

Nimewahi kusikia kuna watu hawawezi kukaa na siri mbili, akipata siri mpya ile ya zamani lazima aitoe ile ya zamani

Nahisi wewe ni mmoja wao 😅😅
 
Mam ana hoja asikilizwe lkn kwenye msomi amepuyanga ila pombe Sasa wew mwanaume mlevi wa nn 😂😂😂
 
princess ariana 😊👋

Anyone who raised by narcissists parents there's only one way to handle them while maintaining your sanity..You set hard boundaries and reduce contact🧕🏻

But Hakuna Mzazi anaependa kuona Binti ake/Kijana wake anaolewa/kuoa mtu wa ovyo..jiulize mwenyewe ukija kupata ndoa na kujaaliwa watoto utaruhusu binti yako aje kuolewa na mvuta bange?mlevi? with a literaly bad Cv🤔

Take a second and breathe..It sounds like your Mom honestly want what is best for you🤗

Even if she is expressing that in a way that is maybe not healthy or conducive to continuing forward..all in all the ball is on your court🧕🏻
 
wewe uko ndani ya game yaani na bado upo foolish age ,nyege kibao .

Mzazi wako ana experience na ni kama kocha kwa nje anajua wapi afanye marekebisho sasa wew leta ujuaji , Ndoa sio kitoto .

Mtu anatumia mavitu ya ajabu we unaona bado yupo sawa kweli🤔
Ooh 😂😂😂
 
ariana

Pole kwa hili, kinyamwezi wanaita dilemma.

Hata hivyo, ingawa vitabu vinasema waheshimu Baba na Mama, msisitizo ni kuwaheshimu kwenye kutenda righteousness (yanayompendeza Mungu).

Sasa basi, uchaguzi wako ni ima kuacha na kijana uambatane na Mama ama uachane na Mama kisha uambatane na kijana.

Mbili, kumbuka maisha ni kubahatisha maana hakuna aijuaye kesho.

Ushauri wangu, as long as mnapendana na kijana, nyie songeni mbele. Yakiwashinda mtaanza upya. Mapenzi hayalazimishwi wala mtu hachaguliwi wa kuambatana naye. Bible inasema mali na Fedha zinatoka kwa wazazi, mke/mume mwema ni biashara za Mungu hizo.

Kila la heri.
asante kwa ushauri
mi pia nmemwambia tukiachana basi ila kwa ridhaa yetu kuanguka sio tatizo
 
Ariana utakuwa ni kazuri fulani hivi mama anaona you deserve better. Jamii ina expectations kubwa sana juu ya wasichana hasa wakiwa wazuri, msichana mzuri unatakiwa utembee na akili yako kila sehemu la sivyo jamii itakutoa kwenye reli.

Nina rafiki yangu anafanya kazi UN agency moja Dodoma, ananiambiaga hivi unajua kipindi nimeanza anza tu kazi nilitakaga kumuoa fulani? Huyo fulani ni rafiki yangu mwingine alikuwa pisi ya moto sana, enzi hizo. Nikamuuliza what happened…. Akasema mamaake alikataa, akanimbia kwa maisha yako huwezi muona “huyu” labda nikupe “yule” (dada mtu). Miaka imepita huyu rafiki yangu pisi kali ni single mother wa mtoto mmoja na uzuri wote kwishney anapambana na hali yake tu.

Katika situation yako unaweza kupata matokeo ya aina mbili, either upate mtu “bora” zaidi ya huyo kwa mujibu wa mama yako, au usipate mtu yeyote na ipo siku mama yako atakulaumu. Fanya maamuzi kwa makini ukiwa unajua kuna matokeo mawili yapo mbele yako.
 
Mimi ni mwanaume lakini nakushauri Usikimbilie ndoa kiasi kwamba ukalazimisha kuolewa na mwanaume asie faa kwa kuhofia umri unaenda, ukijiheshimu mwanaume huwa anakuja tu hata ugonge 40y/o

unaweza kuharakisha ndoa na mtu wa ajabu akakurudisha hatua nyingi nyuma na akakuongezea matatizo kiasi kwamba akakuharibia ndoto zako na ukaishi kama binadam aliejikatia tamaa maisha yako yote.

kila binadam ana mapungufu ila usikubali kuolewa na mtu ambae ana mapungufu ya kujiendekeza.
 
Nikuulize swali?!

Jamaa anavuta bangi ama havuti?!

Jamaa ni mchafu mchafu ama msafi?!

Jamaa hakuwa na mahusiano ama alikuwa nayo?

Hizi negative traits ambazo jamaa kazionyesha kwa mama yako wewe umeziona na kama umeziona umechukua hatua gani au na wewe ndio wale wa "Nitambadilisha tu tukiishi pamoja"
 
Umeishia form 4 hadi sasa una 28 yrs how that possible hujaolewa au ulizaa hapo kabla?
 
50C24DA1-D681-43E3-A459-FAC34172BBF7.jpeg
 
Ariana utakuwa ni kazuri fulani hivi mama anaona you deserve better. Jamii ina expectations kubwa sana juu ya wasichana hasa wakiwa wazuri, msichana mzuri unatakiwa utembee na akili yako kila sehemu la sivyo jamii itakutoa kwenye reli.

Nina rafiki yangu anafanya kazi UN agency moja Dodoma, ananiambiaga hivi unajua kipindi nimeanza anza tu kazi nilitakaga kumuoa fulani? Huyo fulani ni rafiki yangu mwingine alikuwa pisi ya moto sana, enzi hizo. Nikamuuliza what happened…. Akasema mamaake alikataa, akanimbia kwa maisha yako huwezi muona “huyu” labda nikupe “yule” (dada mtu). Miaka imepita huyu rafiki yangu pisi kali ni single mother wa mtoto mmoja na uzuri wote kwishney anapambana na hali yake tu.

Katika situation yako unaweza kupata matokeo ya aina mbili, either upate mtu “bora” zaidi ya huyo kwa mujibu wa mama yako, au usipate mtu yeyote na ipo siku mama yako atakulaumu. Fanya maamuzi kwa makini ukiwa unajua kuna matokeo mawili yapo mbele yako.
nashukuru wewe umeona hilo
mimi sio pisi kali kivile ila nikivaa naonekana, najipatia ila hio mi huwa sionagi kama nisababu
mana bongo pisi kali nyingi sana.. na hao anaowataka mama sio kwamba sijawahi kuwa nao
nmekua nao sana ila matokeo hayakuwepo ukishakua pisi kila mtu anawaza akufunue apite zake..
sasa hizi deserve better nmezitafakari nmeona sifiki nazo popote nikizishikilia maisha yanakua yamesimama miaka inasonga sasa huyu kijana bila kujali amejitoa kuweka nia ...
maisha nnayoishi nayajua ndo mana nikasema mama/jamii mbona hasumbuki kujua niliopitia kwa mahusiano mpk nilipofika mimi huyu kijana napenda spirit yake ya kupambania yani pamoja na muonekano wangu ameona ananihitaji na yuko tayari kunipambania kivyovyote ndo mana nmempa nafasi
 
Back
Top Bottom